Mdogo ake the BOLD
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 548
- 965
Nimepita hapo EGM 2009-2011 ni pazuri sana mazingira ya kusomea na lile pori tumesomea sana machakani kule ila fungus zilitutesa sana aisee...Jumamos kama kawaida kwenda kisarawe kucheza taarab na wamama wa kisarawe...ukikaa vbaya unapotea