Hivi wadau,nimekuwa nikifikiria kuanza kununua bidhaa kama nyumba,viwanja,magari au pikipiki kwenye minada ya hadhara. Sasa najiuliza,italipa?Naweza kupata vitu kwa bei nafuu kwenye minada then nikaiuza na kupata faida?

ila usijaribu kununua nyumba za mnada Mkoani Mbeya hasa ambazo wenye nyumba wanadaiwa na benki. Yaani ukinunua bila kunegotiate na mwenye nyumba cha moto utakiona. We unachofanya kwenye mnada unataja let millioni 5. halafu pemembeni unakwenda kumpa mwenye nyumba cha kwake let say million 7. hapo mtaiva na mwenye nyumba. Bila kufanya hivyo hiyo nyumba yaweza kukutokea puani