mimisa MY NEW BABY

hee yamekuwa hayo jamani haya ngoja tumwambie Baba V awaweke katika rekodi yake na mwambieni watu8 awape mavazi ya haruisi anayo tena mengi hata stoo yako kwani nilkwenda kuyaona
baada ya msoto wa mda mrefu natangaza rasmi
kuanzia leo ni mimi na mimisa tu,naomba msimsumbue my baby, niachen nijilie vyangu
i love u so much mimisa
 
Last edited by a moderator:
hahahaa! Si useme tu unaogopa majibu?

doctor majb hayanitish labda tukapime choo,
nishalazwa hospitali kwa malaria kali kisa nilikimbia sindano,mambo ya kutoboana siyataki,
ila kuwatoboa wenzangu nipo mstari wa mbele
 
doctor majb hayanitish labda tukapime choo,
nishalazwa hospitali kwa malaria kali kisa nilikimbia sindano,mambo ya kutoboana siyataki,
ila kuwatoboa wenzangu nipo mstari wa mbele

sasa nitakupimaje jamani? mkifanya mchezo hamtafunga ndoa hivyoo... Labda mfungie bomani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…