mimisa MY NEW BABY

Hawa ninawajua vema hawaniumizi kichwa...mi nawahofia wake wenzio akina Kipipi Remmy (wa zamani) na wenzao.
Ila usijali nitawamudu pia.

Btw niko poa hope na wewe hujambo eeh
Ayayayayayayayay...yaaa
Eeeh sijambo kabisa....
 
naamini atatimiza majukumu yake ipasavyo..alafu Chocs..uyo mumeo ayo mashetani yake ungeyakemea yasimrudie tena..kuna siku atakusaliti iviv
Hongera
Ndo umtulize mtoto wa kike huyo...sio kesho tusikie mengine...
 
Last edited by a moderator:
na tena mimi mama mkwe wako ni mwenyekiti wa hiyo kitu
njoo utapata hifadhi stahili kabisa, welcome mkwe.

Mamdenyi..mtaani kwako kuna jumuia ya wamama eti?..tukihamia huo mtaa naweza kujiunga..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…