*MIMINA -catholic song..is a master piece!!!

mamy cute

Senior Member
Joined
Nov 21, 2025
Posts
114
Reaction score
298
this song is Goated 10/10
aliyeutunga Mungu abariki kalumu yake alete tena kitu kama hiki ...

na huyu jamaa wa kuitwa Tikiti kaumix vizuri sana aisee
wimbo gani unakubariki siku hii ambayo bwana ameifanya...
 
Si wimbo wa mimina jamani🙄

Kwakweli Mimina imekaa mahala pale na kuwarudisha wakatoliki kwenye enzi zao.

Maana miaka ya karibuni kwenye Kwaya SDA ndio wameongoza kwa kutoa nyimbo nzur.
  • Kishindo cha wakoma
  • Nyimbo za Zabron Singers

Au unaonaje Shem wangu kabisa Seran . Hebu ongezea maana ww ni katekista
 
Hahha mimi niko kwenye praise team! Huo wa mimina unavutia sana ukiwa ukumbini! Siku nikikubalika sehemu ntakualika shem ucheze hizo mbili😁
 
Hahha mimi niko kwenye praise team! Huo wa mimina unavutia sana ukiwa ukumbini! Siku nikikubalika sehemu ntakualika shem ucheze hizo mbili😁

Mungu akusaidie Shem. Utakubalika zaid na zaid. Utamiminiwa baraka tele hadi ushangae.
Amein for that.
 
Kwani katoliki wanashindana?
Nyimbo katoliki zinakanuni hazitungwi ili kushindana na kundi lingine. Matokeo yake vionjo visivyo vya kikatoliki vinaanza kuingiza.

Mimina umependewa lakini ni Kwaajili ya matamashani zaidi, Hauna naafasi kwenye maadhimisho ya Liturujia. Mara nyingi nyimbo hizi hazidumu sana baadaye huachwa kabisa kuimbwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…