CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
- Thread starter
-
- #81
njoo Ukonga fasta utarudi nayo.... Tena mbegu ni HQ Digitali kabisa... Mtoto anatoka na IQ Kama Albert Einstain na Mzuri
Kutiki muramu!! Yaan ninavyoitaka acha tu... nilienda likizo kuisaka kwani nimeipata sasa.....
Wooooooh!!! Tatizo fastjet imejaa mpaka August.... anyway tuvute subra!!
Ha ha ha ha ha ha ...........lolesthata hyo miguno yako inanishtua pia...
Hii competition hii
Issue ni hao wanaume hawakupatii ! Kuna milalo specific ya how to seek well-conceived!
Hata mswaki , huwezi piga kwenye ncha ya ulimi ukaishia hapo! (hujaswaki bado!)
ama ukaufikisha hadi kwenye oesophagus!
Kuna angel specific patakiwapo kuuvinjarisha mswaki.
Sijui naeleweka?
Poleni kwa mihangaiko ya siku ya leo wana CC...
Mwenzenu marafiki zangu sijui waliambizana???
Yaan marafiki zangu wapatao saba (7) ni wajawazito, ngoja niwataje kihivi...
1. Da' KJ
2. Da' FR
3. Da' NR
4. Da' NK
5. Da' KC
6. Da' BM
7. Da' RA
Mimi peke yangu nimebaki, mimi
tu, kukuleteeni habari!!!!
Yani we Judgement acha tu siwezi sema mengi humu ila ujue without Erickb52.............siwezi pata hiyo starehe kungine!!Ndiyo maana mdogo wangu 52 kukicha ananiagizia Asali kila nikienda Mboka, na huo utamu unaoutangaza ! Nadhani hua anaupakaa asali. Huja notice? Au ni wenyewe tu mkavu bila asali ?
Hebu tomboka Chocs!
Nshakupata... hebu nieleweshe hiyo milalo ya kuisaka hiyo :mimba:
Mwenzangu... nahisi Erickb52 ana kismati tu cha kupendwa....
Ha ha ha ha ha ha ...........lolest
Unakasrika ni n sasa..!Mara tu domo limeshakujaa mate?
Sasa hapo ndo umeongea nini? Alaaa!
Mie siko hapa kuskiliza vicheko vya watu!
Niko kuskiliza maneno ya watu! Eboooh!
Unauzaje utumbo kisha uogope nzi?
Unakasrika ni n sasa..!
Hutaki niongeze siku za kuishi........kaaaaaaaaaaaaah
karumanzira at work
Nakuelezaje sasa! Hapa public?
Au unataka lile jini lucefar "server ban" lifunge ndoa nami ?