Mimi tu, mimi pekeyangu nimebaki

kitambi mzigo... endelea tu kusubiri subiri mwanangu.
 
Nasema hivi, imetokea sijui ni kwa bahati mbaya au nzuuri...

Marafiki zangu wapatao 7 wana mimba...

Hapo umeelewa au bado???

Sidhani kama kakuelewa..., ma @teja huwa wagumu sana kuelewa
 
me sijailewa post yako Jr

Ukuje ofisini baba mtu nishakuandalia notsi...kuna dayagramu, majedwali n.k hapo lazima utaelewa...halafu hakikisha unakuja na kining'inio chako kwa ajili ya praktiko
 
hahahahaa...pole wee!!!
fanya mchakato maana wenye virutubisho vya mayai ni wengi......
 
alaaa...umakonde siwezi kuuacha unaniongozea ujuzi mkubwa sana...proud to have that in my blood...
kama unaimani tofauti na umakonde just try me!
ukweli utaujua...decently...
copy to my best friend..
MMAHE

well noted!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…