Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,009
- 17,471
Sio yesu kristo ni "Yesu Kristo"Nadhani heading mmeiyelewa .
Asanteni na usiku mwema. So nimewahiwa na mtu ninayempenda.
Mafree manson naombeni mniache,namuache kutumia watu(group la makafara ) niacheni tafadhali.
Mniache kwa damu ya yesu kristo.
Lucas yule chawa?Asante kwa taarifa.
Lucas aione kwenye jarada.
HII nyundo ngumu wachache TU wanaweza kuielewa Mwanaume akisema NO ni big NO hakuna bla bla nyingi Ila upande wa Pili akisema NO kesho pita na ndinga safi m'mae uone anavyoanza kulowana CHUPIMwanaume anaweza kumfanya mwanamke ampende, ila mwanaume kama hampendi mwanamke, mwanamke hana anachoweza kufanya yule mwanaume ampende, hakuna.
Chizi karogwatenanaogopa hata kukupa hongera hukawii kuniparamia mzima mzima
Bila kusahau na ile ya katoto kazuriNaona I'd yako ya SweetyCandy umeamua kuipumzisha
Spana juu ya spanaBila kusahau na ile ya katoto kazuri
Na Ile ya teknologia23 😅Bila kusahau na ile ya katoto kazuri
WEwe usinifananishe na watu wengine plzNaona I'd yako ya SweetyCandy umeamua kuipumzisha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nadhani heading mmeiyelewa .
Asanteni na usiku mwema. So nimewahiwa na mtu ninayempenda.
Mafree manson naombeni mniache,namuache kutumia watu(group la makafara ) niacheni tafadhali.
Mniache kwa damu ya yesu kristo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kiss tu kidogo ushafunga macho, utaibiwa simu 😂
Hata msisikilize sana huyu !! Week ijayo atarudi hapa wanaume wa JF ni waongo
Una dalili za awali za tatizo la afya ya akili,waone matabibuNadhani heading mmeiyelewa .
Asanteni na usiku mwema. So nimewahiwa na mtu ninayempenda.
Mafree manson naombeni mniache,namuache kutumia watu(group la makafara ) niacheni tafadhali.
Mniache kwa damu ya yesu kristo.
Hee..... makubwunataka kufanana na BICHWA KOMWE