MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 510
JK...the worst presdent ever!
We know!
JK...the worst presdent ever!
Mkuu kumbe na wewe ulinifanana?
Nami niliwahi kumkoromea humu JF jamaa wakanitandika Ban ya wiki tatu ndo nimerudi jana!
Hawa Mods nao naomba tuheshimiane bwana!! Jamaa anatutia hasira sana huyu Mkwe're wenu! Tuatachaje Kumkoromea?
Ila uongo mbaya hii jela ya Mods siyo njema sana wazee, inanyanyasa sana!!
We know!
Mchaka Mchaka!
Kwa hiyo una maanisha huyu jamaa si dhaifu tuu ila ni ......
Safi sana.......Tehe tehe!
Well said! Nadhani kuna some sort of misinterpretation!Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa yeye c rais dhaifu kama watu weng wanavyodai, na amesisitiza kuwa mara nying hufanya maamuz magumu, ila hufanya kwa manufaa ya nchi na si kwa ajili ya kusifiwa.
Sosi: NIPASHE