Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,443
- 3,266
Watoto wa mama .. wakisha shika pesa kidogo tu wanaanza ku google madhara ya ugali.Wazee ogopa mungu na tekinolojia. Huyu dada alisema anatumia 200.il kwa siku, hajawahi kula ugali katika maisha yake. Watu sijui wamezoom wapi anagonga ulali na mdudu. Mnaojua location mtuambie hapa wapiView attachment 3662052
Unapotoshwa ...siyo kwa kilimo cha sasa cha madawa ....ugali usiokuwa wa kukoboa ni hatari zaidi kwa afya ..shika haya maneno yangu ..kama vipi kula kande za mahindi mabichi au mahindi choma au ya kuchemsha ...yana afya kuliko huo ugali unao usifia kuwa siyo wa kukoboaUgali wakukoboa ni makapi bora ule wali
King Kong III bebi wako huyu huku anakula zake ugaliWazee ogopa mungu na tekinolojia. Huyu dada alisema anatumia 200.il kwa siku, hajawahi kula ugali katika maisha yake. Watu sijui wamezoom wapi anagonga ulali na mdudu. Mnaojua location mtuambie hapa wapiView attachment 3662052
Probably mrembo kuliko huyoHata mimi sili ugali, je mimi ni nani???
Hahahahaa hivi mbona kwenye sherehe hawapiki ugali.Hata mimi sili ugali, je mimi ni nani???
Na camera ya filters hivyo hivyoWazee ogopa mungu na tekinolojia. Huyu dada alisema anatumia 200.il kwa siku, hajawahi kula ugali katika maisha yake. Watu sijui wamezoom wapi anagonga ulali na mdudu. Mnaojua location mtuambie hapa wapiView attachment 3662052