MIMI SIKUWA MGUMU KWAKWELI

MIMI SIKUWA MGUMU KWAKWELI

Walimu walichangia kwa vile vimemo vya nani anaurafiki na nani kila mwisho wa mhula. Ilikuwa ni Urafiki wa mashaka tu!.
 
Boss hata mimi si mnywaji, sivuti bangi wala sigara. Bata siyo mambo yangu.

Ila nilichokiandika ni og.

Nakutabiria kulizwa/ kuburuzwa kisa mapenzi.
Mkuu, mi nipo tofauti na hayo. Hata hao niliyokutana nao ambao siwaelewi elewi unafikiri wengine sikuwapenda? Niliwapenda,na binafsi sipendi kumpotezea mtu muda na sipendi kupotezewa muda ama kucheza na hisiya ya mtu. Kwa sababu najua ni hatari. Kama ninaona tunapoelekea hakutokua na mustakabali nalivua pendo.

Binafsi, naishi kwenye Dunia ambayo siongozwi na hisiya bali uhalisia. Kweli moyo utauma ila kinachonipa faraja ni kwamba nimejitoa kwenye majanga makubwa. Na muda utaniponya.

Ila pale panapohitajika kutumia hekima nitatumia. Kama nikionekana fala its OK. Ila mwenyewe najua ni nini ambacho ninachofanya.
 
Nakutakia kila la kheri.
 
Kwangu u domo zege plus ugumu viliniweka mbali na hii jinsia kwa primary na o-level, sabab nlikuwa na sifa za ziada basi nilipokea sana vizawadi na barua za maombi,utoto raha sana asee. Nacho shukuru ni ilinijengea kufanya maamuzi magumu na mapenz kutokuwa kilevi kwangu.
 
Mkuu, mi nipo tofauti na hayo. Hata hao niliyokutana nao ambao siwaelewi elewi unafikiri wengine sikuwapenda? Niliwapenda,na binafsi sipendi kumpotezea mtu muda na sipendi kupotezewa muda ama kucheza na hisiya ya mtu. Kwa sababu najua ni hatari. Kama ninaona tunapoelekea hakutokua na mustakabali nalivua pendo.

Binafsi, naishi kwenye Dunia ambayo siongozwi na hisiya bali uhalisia. Kweli moyo utauma ila kinachonipa faraja ni kwamba nimejitoa kwenye majanga makubwa. Na muda utaniponya.

Ila pale panapohitajika kutumia hekima nitatumia. Kama nikionekana fala its OK. Ila mwenyewe najua ni nini ambacho ninachofanya.
 
Always back benchers hahahaha hakuna demu ila wengi tulikuwa ni madomo zege tulikuwa tunafichwa ule udhaifu wetu
Duh hio avatar yako uongozi wa jamiiforums hawajaiona?🤣🤣

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Dah! Mwanangu mi mpaka nafika Chuo nilikuwa sina muda nao. Baada ya kumaliza ndiyo naona dah! Kumbe nilichelewa ningeandaa mazingira mapema.
Hii mada ina muelekeo fulani hivi!
Haya buana!
 
Nimesoma mchanganyiko (boys and girls) kuanzia chekechea mpaka chuo.

Nilikaa kila chemba ya darasa kuanzia mbele, kati kati, nyuma, pembeni na kwenye kona!

Nikawa mgumu, nikawa bishoo. Nikawa muhuni, mwisho nikastaarabika.

Watoto wa kike nimecheza nao kuanzia chekechea. Sidhani kama kuna siku watanipa tabu!
 
hahaa wengi waliokuwa wanajifanya wagumu walikuwa waoga na wanachama wa kile Chama cha selfie...
 
Nilikuwa siwapendi nyie viumbe..! Inawezekana maana mpk sasa sijaoa mpk najishangaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha sio poa mkuu. Kwa hiyo hadi sasa hivi hutupendi?
 
Kubwa niko hapa, nilikuwa sipatani kabisa na hii jinsia ya nyongeza aisei...!

Nimepigwa sana, shule ya msingi, ata sekondari ingawa miaka 4 kati ya sita ya sekondary nomesoma boys! Only 2 years nimepata taabu especially O'level.

Nilivyofika A'level nikaanza kuwatamani madem afu siwapati tena..!
Jinsia ya nyongeza ndo nn mkuu?
 
Ledada umefuraaahi, me nilikua napenda kukaanao wakinigusa gusa na tule tunyonyo tudogo tugumumu mimi hooi. Balaa na kivumbi kuanza kuwaomba loooh mtihani adi kirohobkilikua kinadunda.
Hahahahahaha mkuu umenifurahisha sana lol. Ulikuwa unaomba kile cha nguo nguo😀😀
 
Primary darasa letu lilikuwa na wanafunzi 15 tu, wavulana 25 jumla 40.
Wasichana kuleeee
Wavulana upande wao,basi kuna mwalimu mmoja yeye akiingia kupiga pindi anawalazimisha wasichana wachanganyikane na sisi,kipindi kikiisha hali inarudi vilevile.
Sekondari si kila mtu ana kiti na meza,ni back bencher mwanzo mwisho.
 
Kiongozi, mbona mimi nipo cool tu, si mmnywaji, si mtu wa sigara. Bata nipo kati kwa kati tu ila ile ya ki' gentleman. Halafu mi si Playboy, nawaheshimu watoto wa watu.

Najali hisia za mtu na naheshimu mtazamo wa mtu. Halafu kingine mi ni kijana ila shukrani kwa Mungu najielewa. Kiu yangu ni wa kumpata kutengeneza family na kufanya ndoto zetu pamoja ili tusonge mbele.

Najua hakuna mkamilifu hata mimi nina mapungufu yangu. Lakini nikiwaangalia jinsia ke! Aisee! Yaani kama siwaelewi elewi.

Ila kwenye mapenzi kuanza ukubwani ni kweli ila siyo mbaya nitakomaa tu hivyo hivyo.
Ukianza mapenzi ukubwani jiandae kuja kuoa kituko au bomu,na ukioa kisu siku umeachwa unaweza jitia kamba maana huna experience.
Tuliofanya utundu enzi za ujana hata kuoa hatukukawia pale tulipoona muda ni sahihi,maana tulijua kuoa ndiyo pona yetu na kwa sasa naenjoy maisha na cheupe wangu.
 
Kuwahi baa siyo kuwahi kulewa na mtoto kuwahi kuzaliwa siyo kuwahi kutegemewa. Tukubali kwamba wengine wapo wa tofauti, it doesn't matter kama amewahi ama amechelewa.

Nikupe siri??? Kwenye family naitwa mtu wa history. Unajua kwa nini? Kwa sababu kwangu matukio yanaenda kisengele nyuma na watu jinsi wanavyodhani kwamba nidhamu juu ya jambo fulani ipo hivi, ikiwa tofauti na hivyo, yatakufika yatakayokufika. Kwa kifupi nilibahatika kupita kwa watu wenye hekima, na huwa sichoki kuomba ushauri kwao, Alhamdulillah kwa hilo, na bado naendelea kuchota hekima kwao.

Na kuoa bomu!! Mungu aniepushe na hilo. Kuhusu mwanamke akiwa kisu sijui akinitema nitajitia kamba(?!!) Sipagawi nao bro; Kwani najua ninachokihitaji.

Na masuala ya kujitia kitanzi kwangu hapana naamini Mungu yupo na kufanya hivyo ni dhambi.

Na unaposema "kuoa hatukukawia pale tulipoona muda ni sahihi" kwani, ni nini maana ya muda sahihi( kwenye kufanya maamuzi)?????
 
Back
Top Bottom