Tupo mkuu tupo sana mimi nilikuwa ngumi mkononiWagumu mliokua hamtaki kukaa na mademu darasani enzi hizo mnajikumbuka lakini.. [emoji28][emoji28][emoji28].View attachment 938473
Naona kama imekukumbusha mbali sanaHahahahahaha
Kubwa niko hapa, nilikuwa sipatani kabisa na hii jinsia ya nyongeza aisei...!Wagumu mliokua hamtaki kukaa na mademu darasani enzi hizo mnajikumbuka lakini.. [emoji28][emoji28][emoji28].View attachment 938473
Nilikuwa siwapendi nyie viumbe..! Inawezekana maana mpk sasa sijaoa mpk najishangaa[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahaha
Dah! Mwanangu mi mpaka nafika Chuo nilikuwa sina muda nao. Baada ya kumaliza ndiyo naona dah! Kumbe nilichelewa ningeandaa mazingira mapema.Kubwa niko hapa, nilikuwa sipatani kabisa na hii jinsia ya nyongeza aisei...!
Nimepigwa sana, shule ya msingi, ata sekondari ingawa miaka 4 kati ya sita ya sekondary nomesoma boys! Only 2 years nimepata taabu especially O'level.
Nilivyofika A'level nikaanza kuwatamani madem afu siwapati tena..!
Aisei, ni kweli mpaka sasa sijajua nitamuoa nani, hii hali inanipa headache kila ninaanza naye naona hafai sababu ya kutowazoea hawa viumbe wa nyongeza kwetu..!Dah! Mwanangu mi mpaka nafika Chuo nilikuwa sina muda nao. Baada ya kumaliza ndiyo naona dah! Kumbe nilichelewa ningeandaa mazingira mapema.
Upo kama mimi kila ninayekutana naye namuona kama fisadi wa mapenzi. Kuna jamaa nilisoma naye ananiuliza vipi umeshaoa(?) Nikamwambia mimi hata wa maboksi sina. Yaani aisee hali ya kujifanya mgumu mbeleni inatuathiri sana.Aisei, ni kweli mpaka sasa sijajua nitamuoa nani, hii hali inanipa headache kila ninaanza naye naona hafai sababu ya kutowazoea hawa viumbe wa nyongeza kwetu..!
Dah! Mwanangu mi mpaka nafika Chuo nilikuwa sina muda nao. Baada ya kumaliza ndiyo naona dah! Kumbe nilichelewa ningeandaa mazingira mapema.
Shida siyo hamjui muwe na nani shida ni mmeanza mapenzi ukubwani. Kila mwanamke unamtaka wewe na ujana unaona haujaumaliza.Aisei, ni kweli mpaka sasa sijajua nitamuoa nani, hii hali inanipa headache kila ninaanza naye naona hafai sababu ya kutowazoea hawa viumbe wa nyongeza kwetu..!
Kiongozi, mbona mimi nipo cool tu, si mmnywaji, si mtu wa sigara. Bata nipo kati kwa kati tu ila ile ya ki' gentleman. Halafu mi si Playboy, nawaheshimu watoto wa watu.Shida siyo hamjui muwe na nani shida ni mmeanza mapenzi ukubwani. Kila mwanamke unamtaka wewe na ujana unaona haujaumaliza.
Boss hata mimi si mnywaji, sivuti bangi wala sigara. Bata siyo mambo yangu.Kiongozi, mbona mimi nipo cool tu, si mmnywaji, si mtu wa sigara. Bata nipo kati kwa kati tu ila ile ya ki' gentleman. Halafu mi si Playboy, nawaheshimu watoto wa watu.
Najali hisia za mtu na naheshimu mtazamo wa mtu. Halafu kingine mi ni kijana ila shukrani kwa Mungu najielewa. Kiu yangu ni wakumpata kutengeneza family na kufanya ndoto zetu pamoja ili tusonge mbele.
Najua hakuna mkamilifu hata mimi nina mapungufu yangu. Lakini nikiwaangalia jinsia ke! Aisee! Yaani kama siwaelewi elewi.
Ila kwenye mapenzi kuanza ukubwani ni kweli ila siyo mbaya nitakomaa tu hivyo hivyo.
Ledada umefuraaahi, me nilikua napenda kukaanao wakinigusa gusa na tule tunyonyo tudogo tugumumu mimi hooi. Balaa na kivumbi kuanza kuwaomba loooh mtihani adi kirohobkilikua kinadunda.Hahahahahaha