Mimi pia natafuta mpenzi-Mwanaume

Wewe una nini ebu tiririka!!! Na wewe una shape nzuri? Je wewe chotara,mng'avu ng'avu maji ya kunde umeenda hewani sekunde? Kwenu oysterbay au masaki? Kama ndio ni PM.
 
Good observation,wewe kama hauna hivyo vigezo pita tu,wenzio wanavyo.Gari zuri kwa matembezi yetu,fedha kwa matumizi yetu hasa shopping,hbr ndio hy
Gari zuri linafananaje?
Alafu kinga ya nini tena?
Na mipesa miiiiiiingi ya nini?
Anyway nenda kwa Riz1 maana ndiye mwenye pesa nyingi na gari zuri.
 
unajua tatizo nini hapo....wenye hizo sifa hawatafutwi kwa stail hii, not enough hawakutaki, you are not the one to choose them, they are to choose you! oiste mima..
 
Gari nzuri ndiyo gari gani? Mercedez Benz, Bavaria Motor Works, Audi, Infitini, Jaguar, Maybach, Rolls Royce, Bentley etc

 
Gari nzuri ndiyo gari gani? Mercedez Benz, Bavaria Motor Works, Audi, Infitini, Jaguar, Maybach, Rolls Royce, Bentley etc
Best umemtajia majina magumu! Taja ya huku duniani, starlet, vitz, toyo, bajaj na ile inakuwaga nyeusi mara nyingi.
 
na starlet si ni gari zuri??
Nina hela nyingi sana, nina shilingi moja moja milioni moja, nabebea kwenye toroli.

Nadhani so far gx wani-mia ndo gari 'nzuri'
duh, najisahau nimeanzisha uzi na id mpya! Utaniponza.
 
Kuna wimbo ulisha imbwa na Daud Kabaka kuhusu nyie wadada mnaojifanya wazuri, warembo; mtazeekea majumbani mwenu, shauri yenu mtajajuta.
 
Sawa Best, ngoja tumsubiri ajibu akishakusoma

Best umemtajia majina magumu! Taja ya huku duniani, starlet, vitz, toyo, bajaj na ile inakuwaga nyeusi mara nyingi.
 
Mimi kwangu tatizo ni muda,wanawake ninao wengi kuliko muda.Kama umaweza niongezee muda,maana mimi masaa 24 kwa siku hayanitoshi.
 
Heheheheh naona uko kazini . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
Gari zuri? Hela nyingi mmmmmh?
Jamani jf imeanzisha biashara nyingi aisee

Hata mimi ninashauri JF wangeyachaji haya matangazo ya aina hii ni mengi kwa wao kujiongezea mapato!
 

Kwenye red, ni kazi ngumu gani hiyo unayohitaji mtu masculer?
 
Gari zuri linafananaje?
Alafu kinga ya nini tena?
Na mipesa miiiiiiingi ya nini?
Anyway nenda kwa Riz1 maana ndiye mwenye pesa nyingi na gari zuri.

Ila Riz1 ana kifriji bhanaaa....
 
gari nnayo ila ni MBA na sipendi kutoka out ,ostaadh mie na sifa ya urefu nnayo pamba sijui vaa ila kondom nimesahau kutumia muda mrrfu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…