Mimi nimethubutu na nimeweza wewe jee???

Mimi nimethubutu na nimeweza wewe jee???

Hongera sana bibie, tayari ushajiwekea akiba ya kesho na keshi yenyewe ndo imeanza leo
Barikiwa sana mama
 
swtlo......ukitaka kupata hasira nenda muhimbili kwenye kituo cha waathirika wa dawa za kulevya ama mwananyamala utalia na utataman ukimsikia Kinje ukamkanyage na gari afe. kuna vijana na sasa ni wote wa kike kwa wa kiume yaani maisha yao utalia machozi. wadada wazuri lkn ndo hivyo tena washakua mateja inahuzunisha sana. Tuombee sana watoto wetu kwa kweli

Kweli kabisa Yaani huyo kinje ungekuwa uwezo wangu ni tindikali tu
 
Ubarikiwe dadangu,me napatwa hasira sana na swala zima la madawa ya kulevya yani wanaharibika watu wasio na hatia na angali wahusika wao wanaenjoy tu maisha huko...nakasirika sana ila sina jinsi
 
Ubarikiwe dadangu,me napatwa hasira sana na swala zima la madawa ya kulevya yani wanaharibika watu wasio na hatia na angali wahusika wao wanaenjoy tu maisha huko...nakasirika sana ila sina jinsi

amen my dearest
 
  • Thanks
Reactions: PLL
Safi sana teacher na pole sana kwamba sikuweza kukusaidia.

Naomba kama hutajali ubadilishe hiyo title ili hata wale ambao hatuvai kijani tuwe na Amani.

Babu DC!
 
Back
Top Bottom