Mimi Nikioa

Mimi Nikioa

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,144
Reaction score
2,513
Siku nikivuta mamsi nikaiweka ndichi ndani nitakua mjamaa flani hivi...

Kwanza naweza badilisha namba ya Ting'ring'ri angu...

Alaf wale machalii ambao hawajaoa nitakua nawaona kama sio wajafanja yaani ni ma'whack ma07 kabisa...

Nitakua nawahi kurudi maskani nikishatimba tu ukinivutia ng'ora nakwambia nna wageni kidogo so tusakane weekend...

Yaani ntakua chalii flani ivi busy busy tu na mvivu ki'mbwa kuwapigia phonenga ambao hamjaoa...

Alaf nikiwaona ambao hamjaoa mnakunywa bia nawaona kaa ndo ivo tena mshapoteza izo ma ramani za life...

Alaf nitakua najiona kaa nipo fas duas za peponi nime'chill naskilizia niaje vile...

Wakati mwingine ukinipigia simu naweza pokea baada ata ya nusu saa alaf naanza kukuongelesha English tu au Kimaasai Mwanzo mwenga...

Yaani tuvituvitu flani tu ivi twa kibabe dingii arif sijui unanimaso apo?...

Sometimes unaeza niomba buku bee(2,000)nikaamua tu kukucheulia Liteni(10,000)la karibu ambalo halina kazi...

Yaani Dingilii kama Mshana Jr anaeza post Uzi wa maana alaf mimi nika'comment uturutumbi au matusi kabisa na nisifanywe kitu ya aina oote...

Yaani tuvituvitu flani tu ivi twa kibingwa sijui umenimanya man??

Yaani members wakike umu ndichi wanaeza ni'PM alaf nikawacheki tu au nikawaanzishia Uzi wa kuwashtaki kwa modds wananisumbua na wanahatarisha ndoa yangu tamu...

@NgarenaroBoy.
 
Dogo umekula ndizi mzuzu au yale mahindi ya kuchanganya na maziwa.
 
Wengine wapo kwenye ndoa na wanalia isijekuwa wewe mwenye kiswahili cha kimapengo si ndo utajinyonga na kujikojolea bila kusahau na kukata gogo!
 
Na sisi mabaharia tutakumegea manzi yako tu ukienda majob si tunakuja na style ya kusafisha kucha mageton kwako chalii


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Na sisi mabaharia tutakumegea manzi yako tu ukienda majob si tunakuja na style ya kusafisha kucha mageton kwako chalii


Sent from my iPhone using JamiiForums
Nikiondoka namfungia kwa nje asitoke wala asiongee na RAIA oote
 
Wengine wapo kwenye ndoa na wanalia isijekuwa wewe mwenye kiswahili cha kimapengo si ndo utajinyonga na kujikojolea bila kusahau na kukata gogo!
Usinitishe,,Chalii ya Ara sio ree Bablai
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom