Mimi ni Polisi: Fastjet


Mtarudi badaye
 

Asante kwa hiyo namba 3 mkuu!


Halafu Mentor mbona haujatuandikia ile story ya yule dada aliyetaka kujirestisha ini pisi?
Cc Asprin, Mtambuzi

Ahahaha unanifananishaeee...huyo dada wewe na wenzako ndo mnajua vyema!!!

Hujawahi kufanikiwa mkuu, wakuonee huruma bhana hata siku 1 na wewe utusue Mentor aka Mr Sikati Tamaa

Ni dhambi mwanaume kukata tamaa...!

......dahhh, pole sana Mentor, hahhahhahhhhaaaa!


#MosKwito !

Comment yako imekaa ki-mbu mbu kweli yani!


Hahahah....naomba tu hasira za kutoswa zisihamie kwa raia lol

Khantwe nipe ruksa nizihamishie kwako!

Hahahahaha pole afande , ila tatizo nikwamba ulivutiwa sana na Winnie hukutazama makunyanzi namba hizo zinawenyewe we afande utaweza wapi na shukuru umemjua mapema ungevuta ndani hakika ungetafuta ajira mbadala kama si ujambazi .

Asante sana kwa ushauri Tuya! Nitalizingatia..

wacha akukimbie tu inawezekana na yeye ulimkera kwa kutomalizia kisa cha mke wa waziri.......hii stor kama ya kusadkika vlee kama nikweli mlikuwa mnaishi tv lovee jamaa yaan siaminiiii

josefast, asante pia! Leo mimi kesho wewe!

Tatizo Mentor akipenda anaingia mzima mzima(anaweka moyo) mfundishe 21 century ukipenda unatakiwa kuweka tu kucha siku akikutosa huumii na inaota tena that's our principle #TeamB

Mimi sio #teamBazazi...labda nyie!

Menthor
Mtoto niponaye huku Mwanza najipakulia tu

Babu yangu kipenzi Asprin tafadhali nisaidie kummuvuzishia kikojoleo usoni huyu mtu!


Machungu ndo yanaelekea kupungua kaka Mtambuzi. Nimeupokea mwaliko..kwa utekelezaji!

Aisee afande,hivi mtu mwenye bachelor polisi analipwaje??

Noted!

we mentor hufai. kisa cha binti waziri jmekitelekeza umeamua kuja na mambo ya fastjet!!!! aaaaaghhhhh we mbaya!!!
ntamaholo, nimekusoma mkuu! WILCO

kinda connected in this..,
masai dada, you think!??

Sasa hapa unaomba ushauri, au fundisho au story inaendelea? Sikweli kabisa afande kama Luna uwezekano rudi CCP
kisungu una utani kama ukweli!
Hii ichukue kama utakavyoona sahihi..ukipenda kunishauri SAWA, kutoa pole SAWA, kusema ulichojifunza SAWA!

mmmmh hiyo kanitangaze inaleta maudhi kweli yani sijui kwanin siipendi

You are not alone dadangu MankaM

Afande mentor ingekuwa sijaolewa ningekutafuta! Mie hata basi napanda teheee. Pole weee

Unanitega 64Bits!!!

haiye sana mmbe. hafai kuwa mke. ana akili tegemezi kwa rafiki zake. temana nae

Haika wawae...

Huyu 64bits ana inshu gani tena..:what:

a.k.a #teamB ...shikamoo kaka!
 
Last edited by a moderator:
Realy?? niko zaidi ya tayari...
 
hahahaa pole Mentor, waschana wa kileo hao
Ila umenikumbusha life yangu chuoni, nilikuwa na mkaka mmoja hv alinipenda sananami nilimpenda kumoyo, mie niko mwaka wa 1 yeye 3. Wajua nini kilitokea,nilimkataa huku nampenda, sababu!! room mates walikuwa hawampendi. Mwenyewe alikuwa ankuja room, darasani, ila akiondoka tuu room mate wangu wanavomponda...( mwanaume gani huyo, mbaya, hajui kuvaa, anamakengeza, hayuko sirias, halafu akili yake ahiko vizuri atakuwa kamrithi aba yake maana baba yake alikufa kwa ugonjwa wa akili, halafu ni mvulana wa pekee kwao atakuwa mtoto wa mama atakusumbua huyo, halafu wachaga huwa wanaoana wenyewe kwa wenyewe atakupotezea mudan huyo shoga.... na maneno mengine lukuki)
Akili yangu ya panzi nikawasikiliza bana nikamtolea nje kijana japo alinifatilia kwa mwaka mzima hadi anamaliza chuo akaamua kukata tamaa, kumbe bana rooma mates zangu nao kila mmoja alikuwa anamtaka yule kaka, kuona wao hawapendwi wakanifanyia tukose wote daaah. Nilikuja kujua niko mwaka wa 3 nshachelewa jamaa alishajiseti kivingine japo alikuwa bado ananipenda ila alikataa tuwe wote coz of misimamo yake. Ila cha ajabu hadi leo bado hajaoa huyo kaka nami bado sijaolewa ila wale room mate wote wameolewa...
Moral of the story, mashosti wabaya wanakupeperushia ndege hivihivi, akili kumkichwa waschana
 
Last edited by a moderator:
mwallu ivi unajua afande E.E Mentor ana kamchepuko afu kako mwanza? Hili jina la winnie linanipa mashaka sana maana linashabihiana na jina la binamu yake mke wangu charminglady.

Wala ni majina tu ndio yamefanana mkuu... Ndio ni jina la binamu yangu. lakini yeye ana mchumbaake bana na wala hafahamiani na Mentor
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…