Nimejitolea mhanga aniamishie mm
Bint wa kike hawezi kumchomesh mahindi kiivi
Pata picha kamshahara kotee kakata tiket ya ndege ...daaa kweli mapenzi upofu
Kila siku najiulizaga hivi Mentor ndie pimbi (wa gazeti la sani) au pimbi ndie mentor???!!!
Tatizo Mentor akipenda anaingia mzima mzima(anaweka moyo) mfundishe 21 century ukipenda unatakiwa kuweka tu kucha siku akikutosa huumii na inaota tena that's our principle #TeamB
Yah...natamani Mentor na Kaizer na Nicas Mtei bila kusahau mwallu w apaone hapa I see the courage in your eyez m baby lolAm I dreaming or U say Dubai
sitomsikiliza yeyote sio rafiki or mzazi cos mapenzi ni baina Yang mm na wewe.
Sikupotezi kama Mentor alivyopotezwa
hahahahahahaha yaweza kuwa yes or no lol
Yah...natamani Mentor na Kaizer na Nicas Mtei bila kusahau mwallu w apaone hapa I see the courage in your eyez m baby lol
Oyeee.... Ha ha ha Juuuuu!!Imekuwaje tena apa mwekundu hahaha #teambazazi oyeeee