Mimi ni oparetor wa greda, roller na site Forman kiwango cha lami

menya inganyi

Senior Member
Aug 10, 2016
169
109
nipo vizuri na uzoefu wa miaka 8 kwenye ujenzi wa barabara za lami vumbi nk naoparete greda roller pia Forman wa structure, earthwork.
 
Weka cv umesomea wap huo ujuzi
mkuu nimesomea arusha technical nimetoka apo nimepata uzoefu na kampuni ya waitaliano fredrick tumetengeneza barabara ya moshi arusha nikiwa kama site Forman pia wakaburu tumetengeneza barabara ya mwanza shinyanga greneca mataulo barabara ya ubungo buguruni, intabeton iringa mkuu kuhusu vyeti nitakuletea adi utashindwa kusoma tatizo usiwe unaangalia vyeti angalia uzoefu mkuu....
 
UMESOMEA CHUO GANI WEKA CV
mkuu usiwe unakimbilia swali chuo gani au cv ndiyo maana kampuni binafs nyingi wanauliza uzoefu kwanza cv au chuo Vijana wanaotengeza sana wewe kama una chance nipe kabla sijakupa vyeti weka test kwanza alafu nikupe vyeti
 
mkuu nimesomea arusha technical nimetoka apo nimepata uzoefu na kampuni ya waitaliano fredrick tumetengeneza barabara ya moshi arusha nikiwa kama site Forman pia wakaburu tumetengeneza barabara ya mwanza shinyanga greneca mataulo barabara ya ubungo buguruni, intabeton iringa mkuu kuhusu vyeti nitakuletea adi utashindwa kusoma tatizo usiwe unaangalia vyeti angalia uzoefu mkuu....
Mkuu kama umesimamia barabara ya daraja mbili-ruaha mbuyuni-iringa-mafinga kilometre 210 basi we noma na una uzoefu wa kutosha. Interbeton nawaaminia.

Barabara ina miaka 6 tangu ikamilike lkn bado mmaaaa.

Nafikiri it will last for up to 15 yrs life span.
 
sana mkuu sema serekali imetuangusha kutuletea wachina kwa fujo kazi zao ni za chini ya kiwango sana mkuu ukienda kufanya kazi unashusha cv yako Bure tuu but mkuu wataalam tupo sana sema na hizi kampuni binafsi nazo wanadharau site Forman but ndiyo wazoefu ata hao wanaowaajiri toka shule ndiyo barabara zinabomoka wanafungiwa kama skol na delmont
 
Mkuu kama umesimamia barabara ya daraja mbili-ruaha mbuyuni-iringa-mafinga kilometre 210 basi we noma na una uzoefu wa kutosha. Interbeton nawaaminia.

Barabara ina miaka 6 tangu ikamilike lkn bado mmaaaa.

Nafikiri it will last for up to 15 yrs life span.
mkuu unatakiwa ukiwa Road Forman wa kisasa ujue kila kitu earthwork, structure, bitumen standard, greda opparetor, peva, nk apo umeiva kabisa natamani kuona zile kampuni za kizungu zinarudi tena
 
Kuna jamaa nataka ajifunze hiyo kazi. Chuo kiko wapi?
1471844577028.jpg
1471844586994.jpg
 
ni hatari sana kwa taifa masikini kama tanzania kuwapa kazi wachina, taifa kama tanzania ambapo raia wake wengi wanahitaji kujua teknolojia, kujifunza kazi kwa ngazi ya kimataifa na kuingiza pesa kwa kiwango kikubwa bado tunahitaji makampuni ya kizungu kwa kiwango kikubwa sana...
 
Kuna hii kampuni inayojenga barabara kutoka sakina hadi tengeru, wameleta wachina kibao wanafanya kazi ambazo wazawa wanaweza kuzifanya, kama kuendesha hayo makatapila, hivi kweli serikali yetu iko wapi mpaka hawa jamaa wanafanya kazi za wazawa, naomba wizara husika ifatilie suala hili.
 
Mi ni mmojawapo wa opareta wa hizo mashine, nimefatilia kuomba kazi hapo kwa wachina, naambiwa kazi hamna, lakini machine zikija wanapewa wachina. Naomba serikali yetu iangalie suala hili
 
Back
Top Bottom