Kama unaweza kufanya nesi ya nyumbani kwa mtu, sema, kuna mtu anatafuta nesi.Habari za muda,
Mimi ni nurse na nipo kwenye harakati za kupata ajira naomba msaada kwa yoyote anayeweza nisaidia kupata ajira.
Asante.
Mshahara shs ngp?Kama unaweza kufanya nesi ya nyumbani kwa mtu, sema, kuna mtu anatafuta nesi.
Naomba nijue wewe ni nesi wa kiume sio
Nazidi kufurahi zaidi... Oky sasa pm yako ipo wazo nkutumie kituHapana 😂