swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,253
- 1,475
Wanaccm tunatakiwa kutambua kuwa kuwa CCM siyo kuwa mtumwa kwa chama bado mwanachama ni huru katika mambo yake na yanatohusu sheria za nchi.
Kuna hili swala laka kusajiri kadi a uanachama kwa kweli naoma linatufanya tuwe watumwa.Mabalozi wameambiwa kila mwanachama apeleke kadi ya kupigia kura na kadi ya uuanachama wa CCM lakini kinachofanyika ni uhuni na ujinga,huwezi kuniambia nije na kiyambulisho cha kupigia kura wakati hakihusiani na chama,na mbaya zaidi inachukuliwa namba ya k iraqitambulisho cha kura na namba ya kadi ya uanachama kwa pamoja.
Nachotaka kujua kuna uhusiano gani wa kitambulisho cha kupigia kura na ccm yangu?
Ili mnipigie kura hata kama mmeweka mgombea mjinga? noo.
Unamtuma balozi wa nyumba kumi akusanye vitambilisho vya kupigia kura? uinga.
Mwanza hili zoezi linaendelea.