Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Hiyo ni shuleni kweni !! by the way wanawake mnakuwaga na maks za ziada due to women empowerment policy !!
 
hivi kwani mtu aliyefeli ni mtu aliyepata alama gani?? tuanzie na hapo kwanza
 
mkuu watu wanahemkwa tuu !!
mi nikawa nasubiri movie lianze mara naona " IN GOD WE TRUST" was like WTF
namlaani sana huyo mwalimu wa kike she looks like a**** one,kafaidi nini sasa hapo
 
we kama ulifeli lazima utawachukia waalimu !!
Teaching is my hobby not only professinal !!
Mbona unajidhalilisha hapa?embu jikomboe kiakili,acha kuanika ujinga wako hapa.
 
walimu nyie!
ninawachukiaga sana, unakuta kosa halihitaji ata adhabu bali ni kumshauri tu mwanafunzi ila mnakimbilia kumchapa. ndo maana wengi wenu mnaishia kulalamika tu. Na kama mnamachungu na elimu sa kwanini mliishia kuwa walimu!
post yako tu unaonekana katoto !! ngoja nisubiri watakao like !!nione mko wangapi !! tafuta potty ujisaidie totoo!!
 
walimu nyie!
ninawachukiaga sana, unakuta kosa halihitaji ata adhabu bali ni kumshauri tu mwanafunzi ila mnakimbilia kumchapa. ndo maana wengi wenu mnaishia kulalamika tu. Na kama mnamachungu na elimu sa kwanini mliishia kuwa walimu!
Ukionesha vyeti vyako na mwalimu wangu kakuzidi mbali sana, wako wanaofuata mkumbo wako ambao wana passion na kazi yao... Kisha kua mpole maana ndo walokufundisha hadi sasa unajiona mjanja ukapost humu
 
Mbona unajidhalilisha hapa?embu jikomboe kiakili,acha kuanika ujinga wako hapa.
una uhakika we we sio mjinga?

kosa langu ni ujinga au kujianika ?
Tuanzie hapo kwanza !!
 
...mi nimesoma na wanafunzi vichwa maji,sugu na walioshindikana,ila adhabu ilikuwa ni kwenda kwenu ukafundishwe na baba yako.

Ni kweli, zama za kulazimishana kusoma zilipitaga enzi za nyerere. Mimi pia nilisoma na watukutu waliojipindia vibaya, lakini wakikanyaga eneo la shule ni discipline kwenda mbele, kwasababu ilikuwa ukileta ujinga Headmaster anampigia simu babaako aje kukuchukua usiwapotezee watu muda. Swala la academy ndio usiulize, muhula ukianza mwalimu anatoa syllabus na anakwambia vitabu gani usome. Hakukuwa na haja ya kupigana vibao kwasababu hukufanya homework, utajijua mwenyewe kwasababu end of the year ukiwa bellow 50% inabidi utafute shule nyingine. Kusoma ni hiyari, vijana wanatakiwa waeleweshwe umuhimu wake, sio kupigwa.
 
Ukionesha vyeti vyako na mwalimu wangu kakuzidi mbali sana, wako wanaofuata mkumbo wako ambao wana passion na kazi yao... Kisha kua mpole maana ndo walokufundisha hadi sasa unajiona mjanja ukapost humu
Nimegraguate na honorable !!! vp mwl wako ?

usitake kunichonganisha na waalimu wenzangu bwana mdogo.
 
Unatafuta kiki JF????? Unajigamba wewe ni mwalimu unayetunza bikira za watu!!! dah bangi mbaya mweeeh!
 
Wanafunzi wanawadharau kwasababu ya tabia zenu mbovu za kufukuzia videmu vyao, mbona walimu wenye kufuata maadili ya kazi hawaletewi dharau kama nyinyi walimu wenye kuvalia suruali chini ya makalio?

Ukiona huwezi kufuata maadili ya kazi ya ualimu acha kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…