Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Waambie hao !!
 
Mwanamke mwalimu ndiye mwanamke pekee ambaye anasifa ya kuitwa mke lakn kada zingne huko ni majaaliwa tu
Hahahah.
Fact ndogo tu.
Naomba uchunguze % kubwa ya watu mashuhuri na viongozi, wake zao wako idara na kazi gani.
Ukimaliza, uje kuniambia.
 
Hahahah.
Fact ndogo tu.
Naomba uchunguze % kubwa ya watu mashuhuri na viongozi, wake zao wako idara na kazi gani.
Ukimaliza, uje kuniambia.
Nichunguze Mara ngapi mkuu? Nilishachunguza na majibu ninayo ndio maana niliandika uliyoniquote ..
Mkuu hivi umeolewa unaonaje nikuoe mm?[emoji12] [emoji12]
 
Nichunguze Mara ngapi mkuu? Nilishachunguza na majibu ninayo ndio maana niliandika uliyoniquote ..
Mkuu hivi umeolewa unaonaje nikuoe mm?[emoji12] [emoji12]
Hahahaaaaa!! Naona mgiriki unachangamkia fursa!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Nichunguze Mara ngapi mkuu? Nilishachunguza na majibu ninayo ndio maana niliandika uliyoniquote ..
Mkuu hivi umeolewa unaonaje nikuoe mm?[emoji12] [emoji12]
Khaaa!!!
Unataka kukamatia na fursa hapahapa jukwaani?
Taratibu bhana
 
[quote uid=241513 name="PAGAN" post=17953797]Sasa ndio umeandika nini hapa? Mi nakwambia we mwalimu kanyaboya tu.[/QUOTE]<br />we kama ulifeli lazima utawachukia waalimu !!<br />Teaching is my hobby not only professinal !!

Nashindwa pa kuanzia lakini nakumbuka Mwalimu wangu (Siyo Moghasa) kuwa ukitaka kumjua mtu alivyo chunguza marafiki zake, sikiliza maongezi yake na soma maandishi/maoni yake. Basi itoshe tu kumfahamu Mwl. anayejiita MOGHASA.
 
[quote uid=241513 name="PAGAN" post=17953797]Sasa ndio umeandika nini hapa? Mi nakwambia we mwalimu kanyaboya tu.
<br />we kama ulifeli lazima utawachukia waalimu !!<br />Teaching is my hobby not only professinal !!

Nashindwa pa kuanzia lakini nakumbuka Mwalimu wangu (Siyo Moghasa) kuwa ukitaka kumjua mtu alivyo chunguza marafiki zake, sikiliza maongezi yake na soma maandishi/maoni yake. Basi itoshe tu kumfahamu Mwl. anayejiita MOGHASA.[/QUOTE]
OKEY!! make your point then!!
 
My point is very clear from my early post. That is to say your post potray whom you are.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…