Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,083
- 6,239
Umeamua kutaja jina lake kabisa!!!Kuwaonya jamani ugonjwa uko kila mahali. Huyu Zabron Baba yake ni daktari mfawidh Muhimbili hakuna aliyeamini kuwa ni muathirika
Sawa mkuu, sema jina lako refuu[emoji119][emoji119]Uwe unaniita nakutabiria.
Zabron si jina lake halisi. Ameniumza sana. Kila nikijaribu kumsamehe ninajikuta ninalia.Umeamua kutaja jina lake kabisa!!!
Cool down, mambo mengine yanayohitaji privacy potezea hasa kwenye hii mitandao ya kijamii.
Sifahamu kama yuko humu,, unya nya paa kwa waathirika bado sana ndiyo maana nimefungua ID mpya.Member mkongwe uliyejoin leo
Point yako ni ipi?manake kama ulitaka kutufahamisha ni mgonjwa ungetufahamisha kwa ID kongwe tunayokufahamu
Ama ni case kama ya DaJane kwamba huyo kijana wa kiTanzania yupo humu?
Nimeona mwandiko kama wa kiume[emoji13][emoji13][emoji13]
Hahahahahaaa! Hilo jina lilimfanya mkuu mmoja akajiita "mjinamrefu"!Sawa mkuu, sema jina lako refuu[emoji119][emoji119]
Pole sana! Jitahidi kwa njia yoyote ile kusamehe kisha chukua hatua. Kulia hakusaidii sana maana maji yameisha mwagika. Ukisha kubali hali uliyonayo mambo yatajipa pia kumbuka kuwa by default sisi binadamu wote ni marehemu watarajiwa!Zabron si jina lake halisi. Ameniumza sana. Kila nikijaribu kumsamehe ninajikuta ninalia.
Mwaka jana 2018 nilikutana na mwanaume wa ndoto zangu. Mtanzania, mzuri mcheshi msomi. Maongezi yalinoga sana. Tulikwenda dinner, mara ya pili tulikwenda picnic park. Siku nilipomkaribisha dinner nyumbani baada ya glass ya wine nilifinguka .Pole sana! Jitahidi kwa njia yoyote ile kusamehe kisha chukua hatua. Kulia hakusaidii sana maana maji yameisha mwagika. Ukisha kubali hali uliyonayo mambo yatajipa pia kumbuka kuwa by default sisi binadamu wote ni marehemu watarajiwa!
Kweli?Mwaka jana 2018 nilikutana na mwanaume wa ndoto zangu. Mtanzania, mzuri mcheshi msomi. Maongezi yalinoga sana. Tulikwenda dinner, mara ya pili tulikwenda picnic park. Siku nilipomkaribisha dinner nyumbani baada ya glass ya wine nilifinguka .
Yule kaka alikuwa hakustuka. Baada ya kuondoka aliniambia kwenye simu kuwa hataweza kunuoa hivyo asinipotezee muda.
Niliumia sana.
Zabron si jina lake halisi. Ameniumza sana. Kila nikijaribu kumsamehe ninajikuta ninalia.
Hapana ingawa daktari wangu ananishauri sana kuwa na meenza kwani afya yangu imeimarika. Hilo siliwazi kwa sasaKwa sasa hakuna anaekutafuna?
Pole Mkuu ila mimi leo kupitia kwako nitakuwa nakukumbushia tu vile maandiko yasemavyo ili kujilinda na haya yaliyokukuta kwa wengine piaMwaka jana 2018 nilikutana na mwanaume wa ndoto zangu. Mtanzania, mzuri mchshi msomi. Maongezi yalinoga sana. Tulikwenda dinner, mara ya pili tulikwenda picnic park. Siku nilipomkaribisha dinner nyumbani baada ya glass ya wine nilifinguka .
Yule kaka alikuwa hakustuka. Baada ya kuondoka aliniambia kwenye simu kuwa hataweza kunuoa hivyo asinipotezee muda.
Niliumia sana.
Pole sana fanya mpango upate mwenzioHapana ingawa daktari wangu ananishauri sana kuwa na meenza kwani afya yangu imeimarika. Hilo siliwazi kwa sasa
Mkuu alijua akishanuambukiza sitakwenda kwingine nitaoana nae na atapata passport."Alijiforce kwake" [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13].