Unaweza ukacheka na kushangaa jinsi internet isivyoweza kuficha watu,ila baadae ukaumia tu. Maana mtu hadi kuanzisha id mpya ili ajiweke wazi kuhusu status yake ya HIV inaonyesha mtu huyo anaregreat.Mkuu si umetoka kutuma emoji za kucheka ghafla bin vu upo in tears
Aisee pole sana
Ni kweli ni ngumu sana kwa cases hizo ku repotiwa inahuzunisha kwa sababu jamii inamchukulia mwanamke aliyebakwa kama fedheha hivi[emoji28] yanai wewe!!
Case nyingi za rape huwa haziripotiwi polisi, wanawake wengi huwa wanajisikia aibu na kuona jamii itamuonaje na itamuelewa kweli?
Kwa case kama hii, huyo ni mtu wake wa karibu na kamkaribisha kwake, hivyo anakuwa na maswali mengi mwisho wa siku anaamua kupuuzia.
Ila nisichokielewa ni hii ya kuendelea kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume alokubaka[emoji1745][emoji1745]
Nimesoma mama ameandika walizoeana hatimaye jamaa akaja kwa bibi yakatokea ya kuambukizana au Kuna mahali sijasoma vizuri.Kumbe hujasoma uzi?
Amesema alimbaka siku ya kwanza.Nimesoma mama ameandika walizoeana hatimaye jamaa akaja kwa bibi yakatokea ya kuambukizana au Kuna mahali sijasoma vizuri.
Asante kwa kunifahamisha.Amesema alimbaka siku ya kwanza.
Unaweza ukacheka na kushangaa jinsi internet isivyoweza kuficha watu,ila baadae ukaumia tu. Maana mtu hadi kuanzisha id mpya ili ajiweke wazi kuhusu status yake ya HIV inaonyesha mtu huyo anaregreat.
PEP inatesa kinoma nilikuwa nkitumia napata wenge hivi, uck nilikuwa napata multiple dreams, kipindi hicho nilikuwa nawahi kazini maana saa 10 uck tyr nko machoDaaah yalinikuta mm mzee ..naamka asubuhi manzi kaenda church sasa sijui akili gani ile ilinikuta nikaanza kupekua begi lake,nikaanza kuangalia picha na vitu vingine mara paaaaap!...nikaziona TLE,COTRIMOXAZOLE,ANTIFUNGAL...yaaani nikaanza dozi fasta ya pep kwa 30 days...daaah acha mkuu mambo haya ni kumuomba Mungu tuu aisee
Non mtu kabla anakurepia kwako ?? ??kafikaje kwanza.?Then mtu kaja kwako mnajuana hivyo kabla hajakubaka lazima akuombe kwanza. Ukiona dalili anakwenda mbali piga simu polisi wanakuja kumuondoa.Akipiga simu Polisi wale virus aliowaacha wanageuka vibaka au ?
Sawa dadaSio kwa jf hii kuna watu hawajitambui nakuapia ukimkwaza kidogo atamuattack!!!kupitia ugonjwa wake bora asireveal id yake tu
Yaani umemuingiza mwanaume ndani kwako uko naye anataka kukubaka wewe upige simu yeye anakuangalia tu ? Labda awe hana mikonoNon mtu kabla anakurepia kwako ?? ??kafikaje kwanza.?Then mtu kaja kwako mnajuana hivyo kabla hajakubaka lazima akuombe kwanza. Ukiona dalili anakwenda mbali piga simu polisi wanakuja kumuondoa.
Sema Protein nae alikuwa na hamu ndo maana akamruhusu. Wala hakumbaka bwana itakuwa alimlazimisha tu. Chezea utamu wewe.Yaani umemuingiza mwanaume ndani kwako uko naye anataka kukubaka wewe upige simu yeye anakuangalia tu ? Labda awe hana mikono
Abdalah kichwa wazi unamjua vizuri akishasimama ? Kuna kuwa na nguvu ya ziada sijui zinatoka wapi
Hata ukiita brigade nzima utaliwa tu
Mimi mwenyewe nimempenda nipo tayari kwa lolote kwake.Kwanza huyu mtu hayupo Sweden labda Kama aliwahi kukaa huko zamani?
Ila hata mimi nisiye na rafiki humu nili guess right.
Ghafla ikaja identity mpya ya zamani ikapotea.
Anajua kupangilia story sana,anapenda kuchangia mada za waathirika vizuri Sana na kwa ushauri mzuri sana,anapenda kuchangia mada za siasa, by the way nimempenda kitu kimoja Ana huruma na upendo [emoji848][emoji848]
Victoire, you always act smarter ila nimefikiria mara mbilimbili ktk huu uzi nikahisi labda mlishakosana ktk hiyi id nyingine au ktk real world!Unaweza ukacheka na kushangaa jinsi internet isivyoweza kuficha watu,ila baadae ukaumia tu. Maana mtu hadi kuanzisha id mpya ili ajiweke wazi kuhusu status yake ya HIV inaonyesha mtu huyo anaregreat.
Mkuu ushawahi kubaka nini?[emoji85][emoji85][emoji85]Yaani umemuingiza mwanaume ndani kwako uko naye anataka kukubaka wewe upige simu yeye anakuangalia tu ? Labda awe hana mikono
Abdalah kichwa wazi unamjua vizuri akishasimama ? Kuna kuwa na nguvu ya ziada sijui zinatoka wapi
Hata ukiita brigade nzima utaliwa tu
Mpendwa nimejalibu kuiludia mada sehemu aliyo bakwa haionekani zaidi ya kuona bibie alikuwa na hamu jamaa akatumia nafasi hiyo kumuambukiza.Sema Protein nae alikuwa na hamu ndo maana akamruhusu. Wala hakumbaka bwana itakuwa alimlazimisha tu. Chezea utamu wewe.
"Hata ukiita brigade nzima utaliwa tu" 😂😂Yaani umemuingiza mwanaume ndani kwako uko naye anataka kukubaka wewe upige simu yeye anakuangalia tu ? Labda awe hana mikono
Abdalah kichwa wazi unamjua vizuri akishasimama ? Kuna kuwa na nguvu ya ziada sijui zinatoka wapi
Hata ukiita brigade nzima utaliwa tu
Kama unataka watu wasikufahamu lazima ubadili na uandishi,na wakikuhisi piga kimya kimya siyo kuja kujustify. Sina ugomvi na mtu yeyote hapa JF na wala sifahamiani na mtu yeyote hapa JF.Victoire, you always act smarter ila nimefikiria mara mbilimbili ktk huu uzi nikahisi labda mlishakosana ktk hiyi id nyingine au ktk real world!
Inaonesha unamjua mtoa mada, ilitakiwa umuache awe wazi kutoa yaliyomoyoni mwake kuhusiana na kuambukizwa kwake.
Tena umesema anajuta, ni kweli anajuta zaidi baada ya kuandika huu uzi kwa sbbu wapo watu wanaomfahamu au wanaoshawishika kumtafuta sasa ili wamfahamu kwa id yake nyingine na inawezekana akafahamika ktk uhalisia wake kitu amabcho hakukitaka. Hii inaweza kuwazuia wengine pia kushare matatizo au uzoefu wao ktk masuala fulani fulani.
Nadhani lingebaki wazo lilelile la mtoa mada la kutifahamika kwa I'd yake ya zamani kama wafanyavyo watu wengine humu.
Kwa kweli.Wonders shall never end