Mimi ni msichana, natafuta mchumba

Mimi ni msichana, natafuta mchumba

Mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please

kuwa makini mtandaoni huku kumejaa tapeli,
 
28 -33 mwanaume aliyesingle hana mchumba?? jihadhari nae atakua na matatizo uyo
Niko above that age na sina mchumba wala demu na sina tatizo vile vile! It's all about being available for it... no offense!
 
Karbu kwangu pia cna elimu mpunga upo wa kutosha natembelea hama870. Unataka elimu au pesa ?? Kaz kwako
 
Samahani nimechelewa kufika, mi Niko huku tandahimba nauza mihogo. Naweza kukuowa
 
Mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please
Mambo..
 
Dada mm nina 27 years nina vigezo vyote pia ni mfanyakazi wa serikali katika kitengo nyeti.Je unaweza kushusha umri wa kuanzia .Pia nawe nakupa masharti nikikuoa uniruhusu kurudi muda wowote na usinifuatilie sana my life
 
Bila shaka mola akusimamie upate mume aliye bora kabisa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom