Mimi ni msichana, natafuta mchumba

Mimi ni msichana, natafuta mchumba

Mmmh aisee hvi kumbe cku hz ni rhc namna hii kupata mume eeeeh???kweny social network???umekua,umesoma tena mpka chuo na kz juu hujapata wakwendana naye kwli??kila la kheri aisee!!!
 
Mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please
Kuanzia miaka 28-33??Kumbe mimi umri wangu unaanza kupitwa kuitwa mchumba!
 
Ha
Kwa nini hapa jf wanao tafuta wachumba wanaweka vigezo vya elimu sijui miaka! Hivi sisi tunapendana kwa vigezo hivyo? Nadhani mungekuwa more specific.

Bila ya hivyo ni kuchaguana kimaslahi tu.

Weka characteristics zako wazi
Hapa JF wanao/wanaolewa na elimu au umri huku mtaani huwezi ukamtongoza bint siku ya kwanza anaanza kukuuliza elimu yako,umri wako au kazi yako hivyo vingine anavijua mbele ya safari
 
kwa masharti ya aina hiyo,utatafuta hadi ukuta wa dunia ukuangukie,hutapata huyo mchumba.utazeeka ukiwa sinia bachela.....!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!😀😛
 
Mi huwa nashangaa sijui hizo elimu ndio zinaoa
 
Mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please
Ondoa kipengele cha chuo kikuuu weka kipengele cha kaz au kujishughulisha ni pm.
 
  • Thanks
Reactions: 1gb
Mimi malaya inakusumbua nini ndugu yangu?
Jamani nani anakuita malaya mpenzi wangu Rubii,hawajajua ni jinsi gani ulivyo mke mwema jamani?any way waache wakutukane ila what i know we ni mwema mama,usijibizane nao hao wasije wakakuharibia sifa ya wema wako mama.@Rubii the best wife material..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom