Huyu ni Ke ndio maana nikakuita najua huniangushagiKwani kashataja jinsia yake? Kama ni KE, kakuambia yuko single au ni mjane? na ni kitu gani kilimdedisha mmewe?
Kama ni ME... nakuachia wewe mjukuu mtiifu
Ahsantaaa.... Andaa chakula cha mgeni..Huyu ni Ke ndio maana nikakuita najua huniangushagi