Mimi ni mchungaji mwema. Asema bwana Yesu

Mimi ni mchungaji mwema. Asema bwana Yesu

balibabambonahi

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
16,513
Reaction score
15,154
Mimi siyo mtu wa mshahara ,mimi ni mchungaji mwema.Mtu wa mshahara aonapo mbwa mwitu huwakimbia na kuwaacha kondoo wakiliwa na mbwa mwitu.

Mimi hata aje hayawani wa namna gani siwrzi kumkimbia bali nitapambana naye ili kuwalinda kondoo wangu.

Ni mchungaji gani anawakimbia mbwa mwitu kujificha wakati kondoo awachungao wakiangamia na kuraruliwa na mbwa mwitu?
 
Back
Top Bottom