Mimi ni mbahili wa mwendo kasi

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Nipo radhi kumfikisha mwanamke kileleni tu lkn sio pesa!nikimpa mwanamke 2000tsh huwa naumwa wiki nzima,N.B wanasema mapenzi ya kweli hayabagui nategemea kuona Pm yangu inajaa ya wanawake wenye mapenzi ya kweli!ila usiwe mfupi sana wa kimo
 
Simu zenywewe used ni Nokia tochi. Kweli kwako buku mbili ni mtihani.
Hupandi daladala eti unafanya mazoezi kumbe ni the best miser
 
Kwa kifupi tu wanaume wabahili kwa wapenzi wao hata wakioa in wabahili tu mwanzo mwisho. Hata kwao ni wabahili tu hats kwa mama zao wazazi.
 
Back
Top Bottom