Mimi ni domo zege, naomba ushauri

Mimi ni domo zege, naomba ushauri

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
887
Reaction score
2,020
Wakuu...

Mimi ni kijana wa miaka 20 ila jamani hadi najigopa kwanza sina swaga kuanzia kuvaa...ila kwa upande wq kutongoza najitahidi sasa shida inakuka kukubaliwa na kupewa tunda la mti wa mema....naonaga bora NIKAE KIMYA AGE NDO INAENDA HIYO...
 
Mdogo wangu, wewe Fanya mambo mengine kwanza. Mambo ya kutongoza waachie wa kubwa.

Vitu kama hivyo hujijia tu automatically. Kama unasoma,piga kitabu. Kama una dili zingine, Fanya kwa bidii. Achana na mambo ya wanawake.

Tafuta pesa, kisha wanawake watakutongoza wewe.
 
Kutongoza kipaji si kila mtu anacho..

Mtu mwingine akitongoza mdomo unakua mzito kama kawekewa zege la Strabag, mishipa ya kichwa inachomoza, macho yanakua mekundu, shingo inakakama utadhani usukano wa scania za zamani..
 
Mdogo wangu, wewe Fanya mambo mengine kwanza. Mambo ya kutongoza waachie wa kubwa.

Vitu kama hivyo hujijia tu automatically. Kama unasoma,piga kitabu. Kama una dili zingine, Fanya kwa bidii. Achana na mambo ya wanawake.

Tafuta pesa, kisha wanawake watakutongoza wewe.
Ushauri mbaya hivi miaka 20 bado mdogo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu...

Mimi ni kijana wa miaka 20 ila jamani hadi najigopa kwanza sina swaga kuanzia kuvaa...ila kwa upande wq kutongoza najitahidi sasa shida inakuka kukubaliwa na kupewa tunda la mti wa mema....naonaga bora NIKAE KIMYA AGE NDO INAENDA HIYO...
Dogo tafuta pesa kwanza vingine vitakuja vyenyewe
 
Wakuu...

Mimi ni kijana wa miaka 20 ila jamani hadi najigopa kwanza sina swaga kuanzia kuvaa...ila kwa upande wq kutongoza najitahidi sasa shida inakuka kukubaliwa na kupewa tunda la mti wa mema....naonaga bora NIKAE KIMYA AGE NDO INAENDA HIYO...
Sina la kukushauri maana hata jina lako linanisuta na naweza kukushauri ukajanitongozea hata dada zangu alafu mwishoe ukaleta dharau
 
Ujinga mtupu.

To accomplish much you must first lose everything..
 
Badilika kuwa smart,tupia kiaina lakini sio midosho,target mabinti uliowazidi umri usikomae na wa umri wako au waliokuzidi.
Jitoe ufahamu,usiogope kukataliwa,kutolewa nje kawaida tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom