Mimi ni binadamu wa mwisho kufa duniani

Mimi ni binadamu wa mwisho kufa duniani

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
23,894
Reaction score
31,682
Nina imani kubwa sana tangu ni ngali mtoto mdogo kuwa nitakuwa binadamu wa mwisho kabisa kufa au ikiwezekana kutokufa kabisa .

Yangu ni hayo tu .
 
Jordi Pola,
Fafanua Mkuu maana umetoa kauli yenye kufanya ubongo wa great thinkers kujiuliza, maana binadamu hatuwezi kufikiria kuzidi uwezo wetu.

Mfano kama karne ya 15 kuna mtu aliwaza ataweza kuruka kama helikopta alionekana mwendawazimu lakini karne hii ya 21 tunaona hilo linawezekana na hivyo fikra zetu zote zimo ndani ya uwezo wetu.

Hivyo kweli inawezekana ukawa binadamu wa mwisho kufa katika sayari hii ya dunia yaani utakuwa the last survivor baada ya wote kuondoka.
 
Nashindwa kusema ni kwa nini ila tangu nipo mtoto mpaka leo naamini nitakuwa mtu wa mwisho kutolewa uhai

kuna siku niliwahi kuwaza itakuaje dunia nzima wakafa halafu nikabaki mimi mwenyewe?
 
Back
Top Bottom