Usijali mlinde sana Dada yako,mwambie Cheche Mtungi ameingia JF!
Narudia tena Cheche Mtungi!
Zaidi yako,kwani mambo mitikasi yangu unaionaje?
Wanakusalimia sana,karibu sana!
Narudia mwambia Dada yako Cheche Mtungi kaingia JF!
Mitungi tuuu?na yale mambo yetuu je?
Mwenyewe kabisa!
Ahsante Muungwana!
Usipite,mmi naomba tukutane hapa mara nyingi!