Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,334
Ulichoandika ni sahihi
Ila sijaelewa lengo la hii thread ni lipi maana unaonekana kama kuna mtu ulitaka ajue hilo baada ya mabishano yenu au tetesi flani kuhusiana na umiliki wa hicho kitabu
Ulichoandika ni sahihi
Ila sijaelewa lengo la hii thread ni lipi maana unaonekana kama kuna mtu ulitaka ajue hilo baada ya mabishano yenu au tetesi flani kuhusiana na umiliki wa hicho kitabu
Huyu jamaa kama ana ndugu wa karibu humu namshauri wachukue hatua kumpeleka kwa psychologist hayupo sawa kichwan
Mmiliki au mwandishi!? Ina maana hata nikikinunua bado wewe utakuwa mmliki!?
Jina lako linaendana na tabia yako. Mashaka.
Hahaha...nandio maana mwaka 1992 nilibatizwa nakuwa Deogratius.
Unajua mkuu wewe una assume kwamba wewe ni superstar na kila mtu anakujua. What is so special with you that you want our attention? Yaonekana upo nchi ya kufikirika. Karibu Tanzania na onyesha vipaji yako na avoid cheap popularity.
Lakini bado unalitumia. Muwe makini na majina mnayowapa watoto wenu.
Jina linasadifu tabia za mtu. Bado una Mashaka.
Ungeweka nakitabu chenyewe tupate kukipitia tujue yaliyomo ndani
Ku
Kuanzia Leo silitumiii tena. Lakini Asili ya MTU haipotei.