Mimi nashauri CHADEMA ifutwe

Ili uweze kutoa maoni yako haya, Kwanza ulipaswa kujiuliza chanzo cha tatizo ni kipi? Ni chadema? Ni ccm? Vyombo vya ulinzi? au Serikali?
Serikali inawataka watu wanafiki ambao wako tayali moja waiite mbili, ukiwa tofauti na hivyo wewe ni adui. Lakini pia chunguza ni namna gani chadema imeitikisa serikali kwa kusema ukweli ambao mimi na wewe tunafichwa na hatujui tunafichwa kwa sababu ipi.
 
kuiondoa CCM madarakani kunahitaji sacrifice.
I mean sacrifice YOYOTE.
 
Mkuu naomba nikope maneno ya wanaccm wanapokitetea chama chao "" Ccm haina shida ila shida ni watu"" kwamba kwa akili ya mwanaccm unaweza ukawa na chama bila watu.any way sasa Chadema ni watu ukiifuta chadema umefuta chama hujafuta watu hivyo watatafuta njia nyingine ya kujikusanya ili wafanye hicho ambacho wewe hukipendi.Mimi nadhani solution ingekuwa kwa kuwa ccm inapendwa sana na watanzania,kwakuwa Rais wetu mpendwa anapendwa na kila mtu na ameleta maendeleo makubwa basi acha 2020 tutafute referee huru asimamie uchaguzi wetu ili hawa chadema wajionee wasivyopendwa and their after wanakufa natural death.Ila kuifuta chadema au kubadiri katiba ili tuwe nchi ya chama kimoja haiwezekani maana bado tunahitaji misaada
 
Elimu ipi ya inafundisha fujo ni shuluhisho la matatizo? Always mazungumzo ndio suluhisho
Baba yenu wa magogoni anatka mazungumzo? Hyo msimamizi angetoa ivo viapo mapema mauaji yangetokea? Km kweli una akili timamu hebu jiulize kwanini viapo ccm viapo wapewe mapema na upinzani wanyimwe?
 
But watu waangamia sasa bila sababu za msingi. Kwani who is salim walimu mpaka watu muandamane na kupigwa mabomu. Mnahadaa watu wanapigwa watuwanaumia.
piga picha lowassa aliyepata kura milioni 6 za watanzania mwaka 2015 angeamua kwenda kujiapisha pale jangwani kama alivyofanya Odinga unadhani nini kingetokea. Nashauri tu tukazane kusomesha watoto wetu hasa hasa kuwasomesha nje ya nchi ili waonemaisha ya watu wengine yalivyo mazuri au mabaya na juhudi wanazozifanya kujikomboa.Fikiria kama police wasingerusha risasi bali wakaamua kuwalinda mpaka kule wanakokwenda yule mwanafunzi angekufa?
 
Vifo kwenye maandamano ya Chadema ni kafara. Mjanja yeyote akisikia maandamano ya Chadema anakaa kando asijekuwa kafara. Morogoro, Iringa, Arusha, Dar ni kafara tupu. Imefikia hatua Mbowe anaombea siku mojaKinondoni iwe majivu!!
Hyo aliyekufa alikuwa kwenye maandamano
 
Elimu ipi ya inafundisha fujo ni shuluhisho la matatizo? Always mazungumzo ndio suluhisho
Mfano huyo mkurugenzi aliyewanyima viapo vyao hadi waandamane yeye anaamini analipwa mshahara na aliyemteua au ccm na si watanzania.Hapa ndo shida ya elimu inapoanzia
 
00But watu waangamia sasa bila sababu za msingi. Kwani who is salim walimu mpaka watu muandamane na kupigwa mabomu. Mnahadaa watu wanapigwa watuwanaumia.
last year when I was in Minneapolis- Minnesota nilienjoy namna police wa U S walivyokuwa wanamkata mharifu from hotel niliyokuwa nimefikia.nilitamani nichukue video jamaa walivyokuwa wakimbembeleza huku mharifu akikoroma, sikupata picha chama alivyokuwa akiwakoromea police ingekuwa Tz ingekuwaje.sijaki kuwalaumu police maana si wao tatizo ni jamii yetu. Maana MTU akishapata ki division chake hataki kuwa nwalimu,hataki kuwa police na hataki kuwa mwanasiasa.sasa kazi kwenu.Why nisipiganie chama while ndo my last option?
 
Watu kama ww,ni msaada kwa jamii yetu.Endelea kuwapa elimu wala usichoke
 
Intelligent man
 
Huyu Dada aliyeleta huu uzi ..Kiazi kweli..

Eti hawa ndiyo Think Tank wa Lumumba ..hovyo sana.
 


ILI TUENDELEE KUIBIWA NACCM ? NA KUENDELEA KUFANYWA MASIKINI NA MATAAHIRA ?
 
But watu waangamia sasa bila sababu za msingi. Kwani who is salim walimu mpaka watu muandamane na kupigwa mabomu. Mnahadaa watu wanapigwa watu wanaumia.

Kwa akili hizi.

Tanzania tuna safari ndefu sana.
 
Kwa nn tusianze na mkurugenzi wa kinondoni kumfuta
 
Ƙama expansion joint na ɓomɓerɗier
 
Mtoa mada yaani umevaa miwani ya mbao kana kwamba huoni mchango wa wapinzani...kashfa zote...hua zinaibuliwa na wapinzani. Kwa kifupi uwepo wa upinzanii ni kichocheo cha maendeleo nchini.
 
Nimeangalia kwenye kamusi ya kimila hapa,maandishi yamefutika.Kwani una wasiwasi sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…