Hapakuwa na haja kuitisha uchaguzi, halafu mnalazimisha ushindi. Mmeitisha uchaguzi wa nini sasa.Hebu watanzania tuwe makini tuachane na hawa Chadema kwa siasa zao za fujo. Mbona kunavyama vingi sana lakini Chadema ndio wanakufa zaidi? NCCR was powerful but mauaji hayakuwepo. Mauwaji yanatokea CHADEMA wanavuluga uchunguzi. Mimi nashauri CHADEMA ifutwe. Maandamano ya nini? Hii nchi inatawaliwa na waafrika tena kwa kupokezana vijiti. Kwani uhuru maana yake nini? Watawala si malaika. Mimi naona CHADEMA ni kivuruge tu. Watamani maisha ya Siria, Libya, Misri, na Tunisia. Kwanini wasiende huko wajifunze madhara ya maandamano? Political unrest ikitokea si CCM wala CHADEMA itabakia. Wanachi watakufa sana. Hebu ni wapi au nchi gani amabapo fujo imekuwa suluhisho la matatizo?
Nilikuwa nakuonaga una akili. Sana. Ila nemegundua kuna kitu umekosa .Kabisa kivuruge.. wao wanatenda mengi hayo.. ili kuisingizia serikali.
Nilikuwa nakuonaga una akili. Sana. Ila nemegundua kuna kitu umekosa .
Hebu watanzania tuwe makini tuachane na hawa Chadema kwa siasa zao za fujo. Mbona kunavyama vingi sana lakini Chadema ndio wanakufa zaidi? NCCR was powerful but mauaji hayakuwepo. Mauwaji yanatokea CHADEMA wanavuluga uchunguzi. Mimi nashauri CHADEMA ifutwe. Maandamano ya nini? Hii nchi inatawaliwa na waafrika tena kwa kupokezana vijiti. Kwani uhuru maana yake nini? Watawala si malaika. Mimi naona CHADEMA ni kivuruge tu. Watamani maisha ya Siria, Libya, Misri, na Tunisia. Kwanini wasiende huko wajifunze madhara ya maandamano? Political unrest ikitokea si CCM wala CHADEMA itabakia. Wanachi watakufa sana. Hebu ni wapi au nchi gani amabapo fujo imekuwa suluhisho la matatizo?
Umenikumbusha hotuba ya babu duni mwaka 2013 Mwanza.CCM ni wauaji tu. Kama ulikuwa haujazaliwa, elewa kwamba mwaka 2001, CCM na vyombo vyake waliua makumi ya Wapemba kule Pemba na mamia wakakimbilia Kenya kama wakimbizi. Mtu yeyote mwenye akili kidogo anajua nani amesababisha kilichotokea katika chaguzi mbili zilizopita. CHADEMA wameomba barua za mawakala kwa wiki 2 bila kupewa. Na walipozipata katika dakika za mwisho, walipewa feki. Halafu unataka kuaminisha watu kuwa ni tatizo la CHADEMA. Acha kusambaza ujinga. Kaa na ujinga wako.
Pure insane![/QUOT
I didnt get that quite well. Can you read it again?
Chadema wafutwe kwasababu walishika bunduki na kumimina risasi kwenye daladala na kumuua Aquiline??Hebu watanzania tuwe makini tuachane na hawa Chadema kwa siasa zao za fujo. Mbona kunavyama vingi sana lakini Chadema ndio wanakufa zaidi? NCCR was powerful but mauaji hayakuwepo. Mauwaji yanatokea CHADEMA wanavuluga uchunguzi. Mimi nashauri CHADEMA ifutwe. Maandamano ya nini? Hii nchi inatawaliwa na waafrika tena kwa kupokezana vijiti. Kwani uhuru maana yake nini? Watawala si malaika. Mimi naona CHADEMA ni kivuruge tu. Watamani maisha ya Siria, Libya, Misri, na Tunisia. Kwanini wasiende huko wajifunze madhara ya maandamano? Political unrest ikitokea si CCM wala CHADEMA itabakia. Wanachi watakufa sana. Hebu ni wapi au nchi gani amabapo fujo imekuwa suluhisho la matatizo?
Kweli kabisa ni CHADEMA waligoma kutoa form za mawakala alafu wakaamrisha jeshi limimine risasi kwenye daladala.Kabisa kivuruge.. wao wanatenda mengi hayo.. ili kuisingizia serikali.
Kweli kabisa,ikifutwa Chadema,alafu ifuatie wewe na familia yako mfutwe kwenye dunia hii itakuwa poa sanaHebu watanzania tuwe makini tuachane na hawa Chadema kwa siasa zao za fujo. Mbona kunavyama vingi sana lakini Chadema ndio wanakufa zaidi? NCCR was powerful but mauaji hayakuwepo. Mauwaji yanatokea CHADEMA wanavuluga uchunguzi. Mimi nashauri CHADEMA ifutwe. Maandamano ya nini? Hii nchi inatawaliwa na waafrika tena kwa kupokezana vijiti. Kwani uhuru maana yake nini? Watawala si malaika. Mimi naona CHADEMA ni kivuruge tu. Watamani maisha ya Siria, Libya, Misri, na Tunisia. Kwanini wasiende huko wajifunze madhara ya maandamano? Political unrest ikitokea si CCM wala CHADEMA itabakia. Wanachi watakufa sana. Hebu ni wapi au nchi gani amabapo fujo imekuwa suluhisho la matatizo?
She is 17 years old.How old are you?
Huu is police kwa nn uwapige watu risasi wakati hawana hata fimbo, kwa nn uwanyime watu form zao wakati wakwenu mmewapa, and wht the hell is ccm hadi ishinde kiubabe kila chaguzi ...kama huoni tafuta bwana ukaolewe....dunia inaona ujnga wenu subrin tuBut watu waangamia sasa bila sababu za msingi. Kwani who is salim walimu mpaka watu muandamane na kupigwa mabomu. Mnahadaa watu wanapigwa watu wanaumia.
well said, ndiyo maana lidj liko wantedBut watu waangamia sasa bila sababu za msingi. Kwani who is salim walimu mpaka watu muandamane na kupigwa mabomu. Mnahadaa watu wanapigwa watu wanaumia.