Mimi nashauri CHADEMA ifutwe

Aisee ndio mwisho wako wa kufikiri umeishia hapo. We kwanini hujajiuliza nani anayewaua? Je hiyo anayewaua anayo sababu ya msingi?

Serikali haina chama raia wote ni wake je imeshindwa kuchunguza hao watu kukamata na kufikisha vyombo vya sheria?

Ungewaza hivyo labda ungeeleweka zaidi ya reaction ya foma na maji uliyotoa hapo juu.

Mubgu akusamehe maana ugali maharage yamekulevya
 
mkuu kichekesho hiki ulibonyeza nin kwenye cm kukipata? mie nimebonyeza nyota holaaa
 
How old are you?
 
But watu waangamia sasa bila sababu za msingi. Kwani who is salim walimu mpaka watu muandamane na kupigwa mabomu. Mnahadaa watu wanapigwa watu wanaumia.
kwani who is mtulia mpaka asababishe polisi wapige watu risasi?
 
But watu waangamia sasa bila sababu za msingi. Kwani who is salim walimu mpaka watu muandamane na kupigwa mabomu. Mnahadaa watu wanapigwa watuwanaumia.
hivi wewe ndiye ulikuwa unatangaza clouds fm siku za nyuma?
nifahamishe tafadhali
 
Kweli chadema wauaji wamempiga risasi tundulisu hadharani mchana kweupe nakamera za cctv wakazificha na stahiki za matibabu wakamnyima..chadema walimwua kamanda mawazo hadharani mpaka leo hawajakamatwa chadema wanaua raia nakutupwa baharini mpaka leo hawajakamatwa chadema ndyo wanaoratibu utekaji wa watu nakuahadi kuwarudisha ref roma....kwnn hawa chadema wasikamatwe uwiiii wasije wakaniteka na mm
 
yote yana sura zile zile za waunaume fake ccm dah mnaharibu vijana wengi sana!
 
Tatizo ni Elimu Elimu Elimu,unajua umuhimu wa upinzani?

Elimika na hautoleta hoja ovyo kama hii
Elimu ipi ya inafundisha fujo ni shuluhisho la matatizo? Always mazungumzo ndio suluhisho
 
Ushauri mzuri sana kwake Mkuu ,nnaamini atakapo fikia hatua ya kujitambua ata yajutia maneno yake sana .

Nipe jibu la maana ya uhuru. na unipe evidance mahari gani fujo imekuwa suluhisho la matatizo popote duniani. CHADEMA mnatamani Tanzania iwe kama Siria. Fujo haija3wahi kuwa suluhu.
 
Nipe jibu la maana ya uhuru. na unipe evidance mahari gani fujo imekuwa suluhisho la matatizo popote duniani. CHADEMA mnatamani Tanzania iwe kama Siria. Fujo haija3wahi kuwa suluhu.
 
But watu waangamia sasa bila sababu za msingi. Kwani who is salim walimu mpaka watu muandamane na kupigwa mabomu. Mnahadaa watu wanapigwa watu wanaumia.
Ok, who is Mtulia mpaka watu walazimishwe awe mbunge wao? Uchaguzi ndio haki ya msingi kabisa ya mwananchi kupata kiongozi ampendae na ukiona serikali inatumia polisi kuweka mtu madarakani kwa nguvu huo hauna tofauti na ukoloni wa mabavu.
Tunatumia pesa nyingi kuandaa uchaguzi kama nchi ya demokrasia lakini yanayojitokeza ni mambo ya ajabu sana. Kubuka hata mkuu wa nchi aliwahi kusema "mkurugenzi tunakulipa mshahara na usafiri tunakupa kisha unamtangaza mpinzani kushinda hatutakuelewa". Hii ni kauli ya ajabu sana kupata kutolewa na kiongozi nchi hii. Ilipaswa hapohapo apigiwe kura ya kutokuwa na imani kwani kavunja katiba aliyo apa kuilinda.
Chadema sasa ibadili mwelekeo kutoka chama cha siasa pinzani na kuwa chama cha ukombozi ambacho ni lazima kiendeshe mapambano, na watu wako tayari kabisa ila wamekosa msukumo. Nyie mnao support ukandamizaji huu wa jeshi la polisi ndio mtajua kuwa hamko salama kama nchi itatumbukia kwenye machafuko.
 
Haki ndio msingi wa amani mahala popote na kwenye jamii yoyote ile, hayo mengine unayoandika sijui Chadema na blah blah kibao ni ujinga wako na wanaccm wenzio mlio zoea dhuluma
 
Hebu wasikilizeni mawakala wa kule Siha, kura zinabadilishwa kwa nguvu na kutangazwa bila hata aibu sasa uchaguzi maana yake nini?
 
Nitazidi kukuombea
mshana jr utakuwa unapoteza muda wako kumuombea huyo, ni kama baba yao ambaye naona siku hizi haombi tena watu wamuombee kwani amegundua kuwa sasa hawatamuombea mema bali kulaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…