Mimi nashauri CHADEMA ifutwe

Mimi nashauri CHADEMA ifutwe

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,900
Hebu watanzania tuwe makini tuachane na hawa Chadema kwa siasa zao za fujo. Mbona kunavyama vingi sana lakini Chadema ndio wanakufa zaidi? NCCR was powerful but mauaji hayakuwepo. Mauwaji yanatokea CHADEMA wanavuluga uchunguzi. Mimi nashauri CHADEMA ifutwe. Maandamano ya nini? Hii nchi inatawaliwa na waafrika tena kwa kupokezana vijiti. Kwani uhuru maana yake nini? Watawala si malaika. Mimi naona CHADEMA ni kivuruge tu. Watamani maisha ya Siria, Libya, Misri, na Tunisia. Kwanini wasiende huko wajifunze madhara ya maandamano? Political unrest ikitokea si CCM wala CHADEMA itabakia. Wanachi watakufa sana. Hebu ni wapi au nchi gani amabapo fujo imekuwa suluhisho la matatizo?
 
Hebu watanzania tuwe makini tuachane na hawa Chadema kwa siasa zao za fujo. Mbona kunavyama vingi sana lakini Chadema ndio wanakufa zaidi? NCCR was powerful but mauaji hayakuwepo. Mauwaji yanatokea CHADEMA wanavuluga uchunguzi. Mimi nashauri CHADEMA ifutwe. Maandamano ya nini? Hii nchi inatawaliwa na waafrika tena kwa kupokezana vijiti. Kwani uhuru maana yake nini? Watawala si malaika. Mimi naona CHADEMA ni kivuluge tu.
hatutaki kushauriwa na watu wa ccm
 
Mungu akusamehe kwakuwa hulijui ulinenalo
 
Dada leo utakua kwenye heat ndio mana unatafuta mashababi cdm[/QUOT0E].But watu waangamia sasa bila sababu za msingi. Kwani who is salim walimu mpaka watu muandamane na kupigwa mabomu. Mnahadaa watu wanapigwa watuwanaumia.
 
Mungu akusamehe kwakuwa hulijui ulinenalo
But watu waangamia sasa bila sababu za msingi. Kwani who is salim walimu mpaka watu muandamane na kupigwa mabomu. Mnahadaa watu wanapigwa watuwanaumia.
 
Hebu watanzania tuwe makini tuachane na hawa Chadema kwa siasa zao za fujo. Mbona kunavyama vingi sana lakini Chadema ndio wanakufa zaidi? NCCR was powerful but mauaji hayakuwepo. Mauwaji yanatokea CHADEMA wanavuluga uchunguzi. Mimi nashauri CHADEMA ifutwe. Maandamano ya nini? Hii nchi inatawaliwa na waafrika tena kwa kupokezana vijiti. Kwani uhuru maana yake nini? Watawala si malaika. Mimi naona CHADEMA ni kivuruge tu.
Nimetulia kwa muda natafakari nikujibu nini but nasema atakayeamua juu ya post yako ya kihaini ni Mungu.
 
Back
Top Bottom