me navaa kujinufaisha, baki kama mpenzi mtazamaji tu huna haja ya kujitia ukakasi kwa mtu ambae haoni haya ya kuvaa pasipo kupendeza..Sasa shida ni kwamba "halijakupendeza"
bac mada imekuwa ya mavazi tenaLook at me,
Just like that...View attachment 1000988View attachment 1000989
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nakumbka siku ya kuvaa ni ubarikio ndo nkagawa kama nmefarki mpaka sasa naonag wanafk wa injil hao[emoji848][emoji848][emoji848]Tuachane na mambo ya mwandiko.
Tuongelee suala la picha.
Kwa hiyo huyo ndiyo wewe[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]ndani ya swaga[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13].
Nachukia mwanaume anayevaa hizo surual jamani[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]mnisamehe tuu. HUWA HAMPENDEZI
( xi ndo nini? Xion 7bu!?? ) yani hii ndo lugha ipi apa tanzania. We ni mvulana tena wa lumumba kule..ni ushauli, wala xi dukuduku, maana xion 7bu wa kujifanya mwelewa kuliko..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo hamna dogoShida yako umeangalia mtu na siyo vazi.
Hiyo picha ni ya Google na nyingi ni watu weupe wameachia zao
Real dearNilichogundua wewe ni mbinafsi...sasa kwanini umeweka picha yako tu?
Weka na ya kwake ukiambatanisha na number yake ya simu wadau wakamkanye aache tabia ya kuwasiliana na wanaume wengine
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]kenge kweli.Usitake kujua upande wa pili wa mtu, usinitafutie ban isiyo na ulazima tena haswa kwa kimwanamke uchwara kama wewe unae tafuta attention kwa wanaume humu...jiheshimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti analalamika alikatika kama elf 50 (yaani kwa mchanganuo wa Kununua simu, Lotion, na pocket money) sasa kwa mgawanyo upi, na hiyo simu ya bei gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Alidai yupo dangerous day piah ni wa kusoma nlihofia usalama wangu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndo mkoaq kijijini wanapoanza mitok[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Toka siku umejiunga JF ukiweka uzi unaweka na picha umevaa nguo hii hii.
Ulitakiwa upitie nyuzi tofauti za humu uone kuwa hii sio sawa na FB...upo mkoa gani bado mnavaa moka nyeupe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah japo una kasoro za kibinadam..Unahisi ulichofanya ni sahihi?
Mwanamke wa sampuli hii unaweza juwa maisha anayoishi na mahala anapokaa hususani mwanamke mwenye utulivu zero na mropokaji, matusi kwake ni fasta, eti falaa nimemshangaa sana, ana stress sana nimeona nisibishane nae asinitafutie ban, eti hana cha kushauri amelazimika kujadili vazi la mwanaume kwani ni lazima aseme kwamba ni sheria sasa kila uzi uandike kitu, ana ujinga sana.Duuuu, wew mtoto wa kike tusi linakutoka fasta hvo!!!
Au huyo jamaa huwa anakulete poyoyo poyoyo mala kwa mala?
Sent using Jamii Forums mobile app
Fala siyo tusi mkuu . kwa kingereza wanasema "useless" sema kwa kiswahili lina makali.
Hivi kwenye huu Uzi ananiambia nimshauri mtoa mada, kuhusu nini sasa?
Maana mambo ninayoona ya kujadili ni mawili.
1: mwandiko wake
2: picha yake (kwa sababu kaiatach ili tuijadili).
Sasa mimi nimeamua kubase kwenye picha kosa langu ni nini?[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Hii ndo nguo anayoiaminia, afu jamaa/ mvulana bado hajaelewa tofauti ya JF&FB afu anahisi huyo nguo ni next levelToka siku umejiunga JF ukiweka uzi unaweka na picha umevaa nguo hii hii.
Ulitakiwa upitie nyuzi tofauti za humu uone kuwa hii sio sawa na FB...upo mkoa gani bado mnavaa moka nyeupe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu karibu JF, vp Geita hamjambo!
wafuasi wa dogo janja mpo hadi huku, elewa kuna kuvaa na kuna kupendeza, unaeza vaa nguo ghari lkn usipendeze faham hlo..Naamini katika kupendeza