Mimi nanyimwa lakini wengine wanamegewa

Mdogo wangu basiii, usipende kutukanana na watu usiowajua dunia duara hii eti

Sent using Jamii Forums mobile app
Dada mimi naacha.
Ila kama mtu nimecomment kitu hajapenda kusema natafuta attention za wanaume siyo vizuri.
Na wanaume wa huku ndivyo walivyo, ukipishana nao silaha yao ni single maza, unajiuza, unadanga, unatafuta bwana. Hizi tabia siyo nzuri.
Mimi Dada sijawahi kugombana na mtu humu na huyu ndiyo wa kwanza tangu nimejiunga jf.
Kwa heshima yako naishia hapa na kuondoka kabisa kwenye huu Uzi.
 
dogo humu sio facebook halafu kipindi fulani nilipokua mkoa mmoja nchini tanzania eneo moja hivi nikawa napiga story za vijiweni hapa na pale nikagusia kidogo story nilioisoma jamiiforum wadau wakacheka sana wakasemaa kumbe upo jamiiforum mtandao wa kutafuta wachumba kiukweli nilishangaa sana kumbe mtaani kuna watu wanajua jamiiforum ni mtandao wa kutafuta wachumba .. kwa style za aina hii dogo unabidi urudi facebook... sura yenyewe haina mvuto wowote unaiweka humu na hizo nguo za kishamba kishamba au kisa umepiga picha kwa canon😀😀
 
Unapuyanga tu hakuna lolote linaloweza kunigusa apo matusi hayasidii hasa kwa mtu usomjua shots...bye
Sahivi unasema kama matusi hayasaidi, sio wewe ulieanzisha upuzi huu, ulimwambia mwenzako alete tusi lingine lile halifai, ulidandia coment kwa manufaa gani kama sio kundu linakuwasha. Jiheshimu utaheshimika,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza wewe ni limbukeni.
Mdogo halafu unakiherehere ndio maan watu hawaletewi shobo siku hizi sisi tunataka mazee ndio yatuoe sio vitoto kama nyie kapige mswaki ule kachakula ka home nenda kadownload movie uangalie hakuna boya kama sisi zamani wakupotezewa muda kama wewe now utampa nini zaidi ya kumnunulia kifurushi hata kumkaza huwezi.
Unamchafua tu unazani hajui aliniambia huwezi.
Unamchafua tu .
Shenzi badala ya kusoma uwe waziri unawaza mapenzi.
Raisi angeweka hii sheria kuanzia daralasa la nne mpaka chuo msako ufanywe ukikutwa unampenzi shule au chuo ufungwe miaka 30 shenzi type kabisa.
 
Asante kwa kuelewa, wakati mwingine mtu anaweza kukuprovoke makusudi tu ili utapike apate sababu ya kukushusha. Tufanye umeteleza tu jifute vumbi endelea na safari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaa eti mtandao wa kutafuta wachumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka nakusihi tena, busara ichukue hatam sioni sababu ya kubishana ivi maana kuna sababu ya kujifanya huoni hayo unayoambiwa... Naamin unaweza kujizuia, kuna watu ambao hata uwatukane vp ni vichwa vigum, jizuie.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…