Mimi na yeye tuko njia panda

Mimi na yeye tuko njia panda

dude you are being played, kama anakupenda angekuwa asha ondoka kwa huyo mwingine.
wewe mbona ulikuwa unampenda uka mmwaga mwenzio!?, she is using you man!! yaan huoni aibu she is sucking his d**k in the morning na mchana anakuja kuja kwako na una mkiss huku unachekelea tuu!!!.

grow up!!, kama hawezi kumwacha mpige chini tafuta mwingine hana maana uyo.
na ukome maana ukute ulo muacha alikuwa ana kupenda fresh tu now umeenda kuwa mchepuko vumbi. hihihihiiiiii!
mkuu umemaliza mimi sina la kuongeza hapa
 
Mwambie huyo mwanaume wake kuwa sasa ni zamu yake kuwa spea tairi maana wewe umekuwa na nafasi hiyo kwa kipindi kirefu. Sasa ni mwendo wa kubadilishana nafasi...
 
Huna msimamo... utapendaje kitu cha mtu.. tafuta wa kwako acha kuvuruga mahusiano ya wenngine...


cc: mahondaw
 
Huna msimamo... utapendaje kitu cha mtu.. tafuta wa kwako acha kuvuruga mahusiano ya wenngine...


cc: mahondaw

Futuristic 73 Sifa ya moyo tamaa
Moyo sifa yake kutamaani

......................
Nyumbani una msichana
Njiani utaona wengi wasichana
Ni bora kuishia kutazama
Kuliko kujifanya unaweza sanaa
Khakhaakhaaaaa

Twentypaaasilimaile
 
wewe ndo uko njia panda mwenzio njia yake imenyooka, akienda kule yanamuendelea na akirudiki kwako ndo kama hivyo ashakufanya ndondocha
 
Wanaume baadhi hamjielewi jamani unaacha mbachao kwa msala upitao kalaghabao endelea kupoteza muda
 
we ndo mwehu kweli gegeda umuache unampenda yeye akupendi mbona yeye hajamuacha uyo mpenzi wake
 
Back
Top Bottom