Ndoto nyingine ni vyema kuziota ukiwa umelala...
Hahahahahah nimechekajeeeee
Ndoto nyingine ni vyema kuziota ukiwa umelala...
Yule mtoto kweli ni mzuri,,,,
kama una mwili jumba ,,utafaidi sana ,,maana ni easy to carry,,
ukishindwa kabisa,,,,uniambie nikupeleke kwa babu tanga kilindi tukamalize kabisa,,ndani ya wiki mambo saaaaaaaafi kabisa,,,,
Ndoto nyingine ni vyema kuziota ukiwa umelala...
vp wangu,wewe hufanani naye hata kidogo? i can settle for less
hapa nilikuwa najivutia kasi,na kukusanya data....next week narudi town...nikisha-renew driving lesence yangu tu,naanza kukapigia misele
watu kama nyinyi mnaweza kunifanya nimtongoze mke wa Obama!!!
Mwanamke si urembo ni
tabia