Heaven on earth mwambie mwenzio heaven on desert arudi jukwaa la Almaarufu, huku ananichanganya na hilo jina lake
Jiandae I naonekana analia tiki sana sura yake Si unaiona?
nikusaidieje sasa ili uweze kumpata vannessa
Nikiwa kama reader wa uzi wako
Demu wa Millard Ayo huyo,taratibu baba.
Teh teh,mkuu ss si tayari ana mtu wake!?