kalou
JF-Expert Member
- Aug 22, 2009
- 4,992
- 3,879
sasa hiki ndio kipimo changu........
haka kabinti ni kazuri mnoooo (kwa macho yangu) na kuanzia sasa natangaza nia, ninitoka tu huku shamba lazima nimtafute mtu wangu wa ukweli lara 1 au Heaven on earth wanipe listi ya vijiwe vyote vya Town ambavyo nitabumiana na huyu mtoto.....yaani hapa kamenimalizia bando yangu yote kwa hii view za youtube nilizompa leo...
sijui nilikuwa wapi siku zote hizi
Mashallah vanessa wewe..
Ngoja nibadili avatar ya Mwl.. niweke hata kapicha ka handisaimu yoyote ...unaweza kututa yupo humu humu