Mimi na upweke, upweke na mimi

🀣 Trust me

Hufananii kabisa, Mimi nakuangaliaga halafu nakuja kusoma maandishi yako huku nasema ndio yeye huyu khee🀣🀣🀣.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ahsante Ms eyes upo sahihi..!!
Kana sura ya upole ila maandishi yamechangamka, πŸ™Œ

Ahsante..!!
jamani nyieeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
[emoji114][emoji114]hii hatari mkuu
 
[emoji122][emoji122]
 
Wanywa pombe hatujawahi lalamika upweke.. kunywa pombe kenge we
 
jamani nyieeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Uache u keyboard warrior🀣

Nifanyie mpango wa hiyo 20k nije zangu Arusha jumatatu πŸ˜‚
 
Wengin sisi kweny kuwapigia watu simu aisee hii imenishinda kwakwel. Jamaa zangu na ndg wananirekebish San kuhusian na hili Swala lakn ndio nimeshindwa kabisa.. cjuh kwann. Ila upweke niliacha baada ya kumaliz form 4. Aisee nilichange mpak watu wakawa Wana Shangaa kama naongeaga. Ko n swal lbda la mda tu
 
That's is serious mental health problem my friend and most of the time it is caused by childhood trauma. Ntakuja kuelezea four type of parenting style and their result in our adulthood.
 
Mkuu tafuta pesa ,ukiwa na pesa simu zitaaita Sana ,marafiki watakuwa wengi ,...

Upweke Mara nyingi unasababishwa na ukosefu WA pesa na kuwa na matatizo mengi kukuzidii...
Kuna ka ukweli hapaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
That's is serious mental health problem my friend and most of the time it is caused by childhood trauma. Ntakuja kuelezea four type of parenting style and their result in our adulthood.
Nimekuelewa mkuu, nasubili hilo somo nami nipate ufumbuzi
 
[emoji29][emoji29]mim nisha tengwa na ndugu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…