Kipipi ni wangu ingawa naona mmeanza kuniwekea kiwingu tu hapa we ngoja nikasirike niwarambe ban wote hadi chit-chat ibaki tupu coz sioni hata anayeniunga mkono zaidi ya Judgement ooooh hamnijui mi ndo mwenye jukwaa?Ndyofu imebatizwa upya inaitwa fanta............. Kipipi chui kavaa ngozi ya kondoo
Swty wako kakamatika na jimama moja kule USA we umekaa unamuwaza lol pole sana Blaki Womaniswt Arushaone walet imejaa hadi ya kutoa ofa na kuwarudisha home wanaozimika
Hehehee Blaki Womani nimerudi kwenye kundi la wateule tena wateule wenye upako....karibuni na nyinyi muone maisha katika rangi ya orange
Yan nimegundua nikinywa fanta au sprite naamka mwepesi na nakuwa active sana kazini(Kazi zote za kifamilia na kiofisi) kuliko nikigonga hata ndofu moja lol naweza nikasinzia nikiwa natembea mwemwemweeeeehahaha fanta ndo mambo gani sasa
Hakuna yalofichwa uyaonavyo ndivyo yalivyo Blaki Womanibaada ya muda yatafunuliwa yaliositiriwa
Swty wako kakamatika na jimama moja kule USA we umekaa unamuwaza lol pole sana Blaki Womani
We unangoja ekuletee ya kula kesho ye hana hata habari na wewe lol kawekwa kwenye chupa hahahaaaaa pole
ha haaaa, mimi sina wivu kabisa......tena kwako? wala, nilikuwa tu namtahadharisha mdogo wangu.
Hahahaaaa ina maana yeye ni kijakazi wako? Au ndo nawewe umemuweka kwenye chupa kama wanavyonijungukia?
Hahahahaaaaa sio mimi coz nilikuwa na kalikizo kadogo labda Paw coz alikuwa analalamika kuwa aliwahi kumvizia King'astiha haaaa, mimi sina wivu kabisa......tena kwako? wala, nilikuwa tu namtahadharisha mdogo wangu.
yaani ukinipa ban sidhani kama utaeleweka na watu wa humu ndani.....watajua tu ni hasira za kupigwa chini.....
mimi nina wasiwasi na wewe kuhusu TANMO, maana kapotea ghafla, sasa sijua masikini anajitafuta mahari alitajiwa parefu, lol!
Heheheheheeeee Blaki Womani mwache aenjoy raha za duniakwenye chupa wapi wewe malavidavi hayo lol hadi mwenye amekiri wakufananisha hakuna
Heheheheheeeee Blaki Womani mwache aenjoy raha za dunia