CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Agha! Nimestuka mnoo, haiwezekani, ngoja nimpigie charminglady nitarudi
Hahahahahaaaaa kidawa aloniweza ni Kipipi na sijutii kuwa kwenye chupa....yan naenjoy sana kuwa ndani ya chupa ya kipipiNajua upo serious lakini uzi wako unathibitisha tuhuma zako kuwa umekula kile kidawa kilichowekwa katika uzi fulani hapa jukwaani na hilo sasa ni shinikizo kutoka kwa laazizi wako ... aliyefanya kazi hiyo.
Acha kutuzingua, lazima utakuwa umeangukia kwenye mikono ya binti mlokole hahahaaaaaa
Hahahahaaa Mzee wa Rula naona umeungana na Mr Rocky kwenye mtaa wa majunguTena atakuwa kampata hapa hapa na sharti alilopewa ni kuanzisha uzi wa kuachana na mambo ya masanga tehe tehe tehe.
Hijaibiwa charminglady ni mimi mwenyewe na nimeamua bila shinikizo toka kwa Kipipibado sijakubaliana na hii taarifa, kuna mtu atakuwa kaiba password ya Erickb52!!!!
Hahahahahaaaaa kidawa aloniweza ni Kipipi na sijutii kuwa kwenye chupa....yan naenjoy sana kuwa ndani ya chupa ya kipipi
Hahahahaaa charminglady Mwanza ntakuja na ndofu sigusi ila raha tutakula kama kawaida tena zaidi ya mwanzo wala usijali sema ntakuwa na kitu fanta....a.k.a Bambuchaaaaaaamy switilo, yan mepata shock hapa. ina maana next tym akija mza level 8 haitahusika???? nasikia harufu ya kuhamia pizzeria kitu ambacho hakiezekani. Erickb52 please hebu badili kauli yako ama uje mza tena ukishatoka ndo uje hapa na huo uzi!!!!!!
Hahahahaaa siwezi wakataa hata siku moja ila ndofu naikataa kama huamini muuleze Mr Rocky leo nimekunywa nini atakuambiaKama hujutii hilo basi ipo siku utakataa marafiki zako maana mambo haya yanaanza hatua kwa hatua mwishoe ndugu kabisa, shitka kaka lol.
my switilo, yan mepata shock hapa. ina maana next tym akija mza level 8 haitahusika???? nasikia harufu ya kuhamia pizzeria kitu ambacho hakiezekani. Erickb52 please hebu badili kauli yako ama uje mza tena ukishatoka ndo uje hapa na huo uzi!!!!!!
Hahahahaaa Mzee wa Rula naona umeungana na Mr Rocky kwenye mtaa wa majungu
Hahahahaaaa charminglady level 8 iko pale pale tena mapemaaaaa ila nikiwa nimezungukwa na fanta kama saba hivihebu jibu hapa kwanza!
kuna mtu kalogwa hapa..........
Huyo unayetaka kushirikiana nae hana lolote kwanza hanitakiagi mema hata kidogo labda ushirikiane na Judgement kaka yangu wa ukweli hana majungu kama wewe na Mr RockyNajua huoni yote hiyo ni nguvu ya kichupa, ila Mr Rocky na mimi tutajitahidi mpaka tutakutoa katika mtego ambao umekuzidi umri tehe tehe.
Hahahahaaa charminglady Mwanza ntakuja na ndofu sigusi ila raha tutakula kama kawaida tena zaidi ya mwanzo wala usijali sema ntakuwa na kitu fanta....a.k.a Bambuchaaaaaaa