Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
anaogopa manundu, ukimhakikishia usalama wake tu baaaaasssssssssssssiiiiiiiiiiiiiiAsante sana kwa upendo wako
Naomba umwambie basi Kipipi asiniletee tena wenge lake maana nae anakuwa kama kitenesi sasa lol
umejuaje napenda zawadi? ntaidai hiyo mpaka uitoe, lol!Yeah mwambie usalama upo tena wa kutosha kabisaaaaaa
Kesho unikumbushe nikupe zawadi eeeeh
Arushaone unatafutwa na Blaki Womani anasema Usariver kunanini hadi unalala huko unamwacha mwenyewe na baridi hii?
haya my dear, you have my blessings, lol! mimi dada mkubwa nakukabidhi mdogo wangu rasmi.....be a good boy.
si kaniambia mmeshakubaliana? halafu hapa ninaloliona ni kuwa unampenda ila unahofia usalama wako, jimwage tu my dear, siyo vizuri kudhulumu nafsi yako. kanihakikishia ulizi wako, so, kwa raha zako......Dah . . . .
Ndugu yangu umenichoka sasa naona!
he heeeeeeeee, asante............Heheheee wala hutahangaika kuidai....yan one touch tu zawadi unaipata lol
Mi sirudi nyuma nasema sitaki na sidanganyiki ng'oooo yan ndofu mwisho coz imenipunguzia perfomance sana
.... Kipipisi kaniambia mmeshakubaliana? halafu hapa ninaloliona ni kuwa unampenda ila unahofia usalama wako, jimwage tu my dear, siyo vizuri kudhulumu nafsi yako. kanihakikishia ulizi wako, so, kwa raha zako......
signature tu? hata michango yangu huoni full busara? lol!Hahahaaa ila kwa hiyo signature yako nimeikubali lol
Ngoja na yangu ipo siku itakuwa na busara