Niko serious na nitauthibitisha soon Mzee wa Rula

Agha! Nimestuka mnoo, haiwezekani, ngoja nimpigie charminglady nitarudi
Niko serious na nitauthibitisha soon Mzee wa Rula
Elizabeth Dominic kuna jamaa kafika dau akaamua kutoa dukuduku lake umemalizanan nae tayari???? Maana aliimba nyimbo zote za kidhungu, kilugha, n.k ili umuelewe tehe tehe.
Taarifa ya erickb si ya kuipuuza.
Nimekaa nikaangalia faida na hasara za ndofu nimegundua yafuatayo!
Faida za Ndofu:
1. Zinanipa kitambi cha kuzugia
2. Zinanipa raha kwa Muda
Hasara za Ndofu:
1. Zinanigombanisha sana na Amyner kila mara
2. Zinanifanya natoa tip kubwa kuliko Bill yenyewe
3. Nikiamka naumwa Kichwa sana na uchovu kila mahali hadi kifanyio
4. Nikinywa jumamosi then jumapili nashindwa kwenda kanisani
5. Nachelewa sana kurudi nyumbani
N.B: Huwa hazinifanyi kuwa penda penda kama manoah na Filipo
Kwa analysis hiyo nimeona faida ni chache kulinganisha na hasara hivyo natangaza rasmi kuwa Nimeachana na kunywa ndofu kuanzia sasa na nawaomba na wengine muige mfano mzuri nilioutoa kwa jamii!
Kwa hiyo ntakuwa nikitoka mihangaikoni nanyooka nyumbani kulala...kwa atakayenimiss anitafute kabla ya saa 12 jioni please mi na Ndofu basi nimehamia kwenye Fanta Orange!
View attachment 70296
Najua taarifa hizi zitawashtua Preta Blaki Womani Arushaone PakaJimmy Mungi marejesho charminglady Mr Rocky Mzee wa Rula LiverpoolFC BAGAH Nicas Mtei Vin Diesel Judgement sweetlady Kabakabana IGWE Elizabeth Dominic Smiling Saint C6 na wengineo ila ndo hivyo!
Naamini kweli kuwekwa kwenye chupa kumekuhusu mkuu. Kwa hiyo umehamia kwenye kesto lite au?
Niambieee muheshimiwaaa....... J.pili imeenda vipi huko kwenu? na mkeo Ciello
hakika kei yaweza mbadili shetani kuwa malaika! chezeiya kipenyo weye??? kila kheri bro!
Ciello mchukue tu aisee chalii angu, maana ananiletea baraa a mie humu, nakosa rahaa kabisaa.... Jamaa eti anasema ameacha kandofuuu, eti kana hasa rahaa nyingi huyu kafuliaa tuuu ongeza twingine tu 2 wili, mie ndio nime toka job nipumzike niendeee nikapige vyomboo karibuuu Mkuu.. Ila usinisahau kwenye mbuzi katolikiaisee arifu, unanikabidhi Ciello hivihivi eeh, j pili iko shwari huyu jamaa kaweka picha ya hiyo kitu kanihamasisha,napiga kama nne hivi za kunisaidia kupambana na shetani then naenda zangu kujilaza
Kei yako ni ya mnato? Je, ni moto au baridi? inabana au pana.... my!hakika kei yaweza mbadili shetani kuwa malaika! chezeiya kipenyo weye??? kila kheri bro!