Mimi na dada'ko we'na demu wako!

Mimi na dada'ko we'na demu wako!

Wavulana huwafanyia wasichana mambo mengi sana sasa akikutana na boyfriend wa dada 'ake anavuta taswira ya hayo mambo kama anafanyiwa dadake, so inampain. Hii ni kinyume na msichana kwa kaka zao. Nimewaza hivyo kwa sasa.
 
Point noted
 
Tatizo ni kwamba,kila mtu anajifanya fundi wakati wa kudoo.tabu inakuja pale unapokumbuka uchafu unaowafanyia dada wa wenzio hapo lazima macho yakutoke na roho ikuume tu.fikilia kama wewe ni mpenda mtandao wa jamii,mawazo yako yatakutuma kuwa na jamaa naye lazima atapita uwani na bahati mbaya na dada mwenye awekanona unaweza anzakulia kwa uchungu.
 
Its ok. Lakini hata "wavulana" ambao hawajui mapenzi wana mind..
 
Back
Top Bottom