Mimi Mwenzenu mapenzi basi

Status
Not open for further replies.
Uandikaji huu, mbona kama naufananisha aisee.
 
Kwanini unafadhaika? Njoo kwangu kama unahisi huko uliko unachezewa kwangu utacheza mwenyewe.
 
Pole sana dada.
Mapenzi ndio yako hivyo huna budi kuvumilia
Mkuu Mwifwa naona unajaribu kuchukua nafasi ya Joseveret yaani umeiga hadi mwandiko na unajaribu kutaka kuchukua ile nafasi yake ya first to reply. Je utaweza moto wake, usije pasuka msamba.
 
Mkuu najitahidi japo bado sijafanikiwa, ukitaka ufanikiwe hichi kitu ni lazima usiwe unasoma story nyingi ili kupisha notifications za mwanzo na kuisoma thread husika kabla nyingine haijaingia, ila thread zikiingia nyingi hutaweza kureply wa mwanzo
 
Haaahaaa..kila la kheri Mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…